Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Yupo ndio ila dah akinipigia simu au kutuma ujumbe najisikia vibaya sana halafu ameniambia nikimuacha atajidhuru
 
Aliyekuelewa anifafanulie tafadhali
 

Wewe sasa ni katili kwahili wala sio mjanja hata kidogo 🐈
 
View attachment 2992881ik chuma hakijawah kukubal kua sikihitaj uspojibu msg znashuka kama mvua kila anachoongea simwelew kibaya zaid nlpga mara moja hata show yenyew skuielewa sasa yeye ndio kafika 💀


Acheni kutesa wenzenu bhn upendo upewe thamani yake endapo kuna mtu atakuonesha huo upendo msijisifie kwa mambo ya kishenzi sisi sote ni wapitaji tu na haya mambo yanapita tu kama kweli wewe ni mjanja basi uishi milele usife umalize hata karne moja na nusu hapo utakuwa ni mjanja sababu wote ulio watesa watakuwa wamekufa ila kama na wewe upo sawa na wao tena huenda utatangulia utawaacha hao unao watesa saizi acheni ujinga wala hao wanao hangaika na nyie sio wapuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…