Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Hehehe mkuu vip mbona makasiriko mengi we elewa tu this life isn't fair and isn't easy to get what you want in this world
 
Ww dogo hadi ww? Duuh dunia simama

Cc Gily Gru njoo umchukue mtoto wako huku 🀣
 
Acha zako bana

Tunachambua tunatoa mchanga kitumbua kinamegwa ewaaaa
 
Mimi ndio maana sihangaiki kupenda mtoto wa mtu, yani wewe uko serious unampenda kumbe mwenzio anakuona lofa na fala tu, hakuna vitu sipendi kama kuchukuliwa poa na kufanywa mjinga kwa kutenda wema
Ila paipu unapigwa kama kawa
 
Mzee kumbe unajua mashairi ya mahaba
Kaimba Passenger
 
Kwahiyo Jadda upo single?
 
🀣🀣🀣🀣
 
wanaume nyie

hii inamtokea mke mwenzangu yan mwanamke wa shemeji yangu, amebeba mimba mwanaume anasema itolewe, mimi nikamshinikiza na vifungu kibao vya dini kuua dam isio nahatia ni dhambi akalea mimba, mwanaume akikuta king'amuzi hakijalipiwa anawaka kwa nn, mbaya zaidi mwanaume hajawah kumnunulia hata chupi kama zawadi hajui hata anavaasize gani, mtoto amefia tumboni anamdanganya yupo mkoani kumbe yuko mkoa huohuo siku aliokuja kunitibua ni hua namwambiaga ukweli huyo mwanamke kwamba hapo sioni mapenzi zinduka wewe akishakojozwa na bwana ake anamwambia yote nikaona hu usenge utakuja kunifitinisha na ukoo wa mama mkwe nikamkatia line mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…