Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Ilinikuta mara mbili.. Ya kwanza huyu binti alikuwa jirani yetu na kiukweli hakuwa mbaya ila bahati mbaya kwake nilikuwa na mahusiano na binti mzuri zaidi yake na alikuwa anajua. Ya pili nilipendwa na JEFUNEBA (jeusi, fupi, nene, baya) na huu unafiki wangu kukataa siwezi nikawa namuonesha mapicha picha lakini alikuwa king'ang'a. (Sikufanya ngono na yeyote kati yao).

Note: binti bikra akikupenda, atakupenda haswaa. Ila huko mbeleni itategemea.
 
Kutokumpenda mtu siyo kosa, kosa ni kumdanganya kuwa unampenda halafu unakuja kumuacha, bora umuambie mapema msipotezeane muda
Sometimes kutompenda mtu ni kosa kwa kutoheshimu zawadi ya kukupenda. Kumbuka mtu hatokei tu kukupenda bila sababu, what if MUNGU anajibu maombi ya nyakati yako ambayo inakuja mbeleni? [emoji848]

Sometimes watu wanajifanya wanayajua mapenzi wanatokea watu wanawapenda wao wanasema huyu sijamuelewa halafu wanakuja stuka umri umeenda kazi kubadilisha partners tu mwishowe umri unasogea wanaambulia patupu wanaanza kukumbuka waliowahi wafuata kwa upendo na kuwahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…