Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.

Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.

Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.

Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .

Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .

MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .
Chai hii,ng'ombe mia unazijua wewe?
 
Mwanaume ujasiri na nguvu za kumwambia mwanamke humpendi mnautoa wapi?? 🤣🤣🤣
Nguvu tunazo ila tunaogopa kuumisa hisia zenu, ndo maana tunawakula tu ili mjisikie vizuri kwa muda, ushauri: mnatakiwa kudevelop guts kukubali kukataliwa
 
Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.

Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.

Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.

Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .

Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .

MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .
Chai
 
Tatizo una kuta anae kupenda nae haumtaki na unae mpenda nae hakutaki ,na yeye huyu unae mpenda kuna mahali hatakiwi tena ,apo ndipo tunaposhindwa kuimba wimbo mmoja.
Aloo usinikumbushe, nakumbuka miaka iyo nilitokea kupendwa na mwanamke wa kijini kwa bahati mbaya, Mimi sikumpenda kabisa alinibembeleza kwa kunipa ahadi kedekede kama kunipa utajiri n.k lakini nikamchomolea.

Uwezi kuamini kwa sasa nimefuria najikuta namkumbuka sana yule Binti nataman kama wakati ungerudi nyuma nikubali kuwa kuwa nae lakini haiwezekani, nahisi saa hizi jina langu mngekuwa mnaliimba kama mnavyoliimba jina la Mo au bhakresa.
 
Noma sana mkuu , pia uchaguzi ulifanya ni sahihi inawezekana ungekua nae ungekuta ulisha kufa kitambo pia.
 
Y
Alinipenda sana huyu demu wa kihaya, chuo hiyo
Mda wa lunch nakuta kachukuwa plate mbili ananisubiri canteen
Likitokea zari sijui kakorofishana na nani wa kwanza kuambiwa mimi
I knew she had a crush on me ila nilimchukulia platonic tu sikuwa na hisia hata kidogo. Long story short nilidate na rafiki yake alipojua our friendship was over!
You cut her on knees
 
Daah hizi mambo huwa ina pain sana, mwenyezi Mungu atusamehe tu. Mdada wa watu sijui nilimpa maumivu gani lkn huwa kuna muda binafsi roho huniuma basi tu.

Mabinti wa kanda ya ziwa akikupenda asee yupo radhi kufanya lolote bila kujali hata mzazi au wazazi wake. Huyu binti alinipenda sana wakuu, niishie tu hapa nisitaje hata jina lake maana anaweza kuwa anajua huu mtandao kwa sasa. 🥲
 
Sijui niite bhati ama mkosi, mara nyingi huwa napendwa na wadada ambao siwakubali. yaani kila anavyojiweka karibu ndo unazidi kukereka...
 
Dah!! Mmenishtua!!
Em ngoja nianze kuchunguza km yule jamaa ananipenda au mimi ndo nimemganda?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyie wanaume acheni mambo yenu ya kiwaki, semeni mkionja vitumbua mkikuta vina mchanga mnatafuta sababu hamna lolote hapo [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbona ghaflaa sanaaa?
 
Mabwakuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 tumerudiana na shem wako
Mangi ninaye na natamba naye!!
Wee huogopi??🤸‍♀️

Manyaku nyaku yamedoda yanaona aibu
Wanamaliza mizungu, wanamaliza mikao, wanamaliza utundu.!!
Hapa kwangu hapatoki hata wampe mkuu 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumerudiana na shem wako
Mangi ninaye na natamba naye!!
Manyaku nyaku yamedoda yanaona aibu
Wanamaliza mizungu, wanamaliza mikao, wanamaliza utundu.!!
Hapa kwangu hapatoki hata wampe mkuu [emoji1787]
Kelele 1 kwa udugu ake, weuwee
Kelele 2 kwa udugu ake, weuwee, weuweee
Kelele 3 kwa udugu ake, weuwee, weuwee, Weuweeeeeeeeee.

Watu na Mangi wao mjinii, afu sio shida zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom