Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

Wanaume siku imekuwa aibu kukuta wanadiskasi mwanamke kapita na gari watampataje wapate maisha rahisi

Em tufanyeni kazi kubabake hakuna maisha marahisi wanawake wangekuwa wanahonga kihivyo hao wanadate mishangazi na mabibi vizee wangekuwa mbali ndo kwanza wanajaza vifua huku kiuno kidogo kama mpaka wa kinu

Tufanye kazi
 
ukweli nilishapewa nyingi kwa wakati tofauti na wadada tofauti na sijawai daiwa hata sumni mpaka leo sema huwa ni damu tu na nyakati (hasa akiwa na mchongo ulio tiki mkiwa nae)mkielewana. na sikuwai waomba siyo wote wagumu. amini ipo siku itakutokea na usiamini. pia zingatia cycle yako ni muhimu sana.
 
Wanaume siku imekuwa aibu kukuta wanadiskasi mwanamke kapita na gari watampataje wapate maisha rahisi

Em tufanyeni kazi kubabake hakuna maisha marahisi wanawake wangekuwa wanahonga kihivyo hao wanadate mishangazi na mabibi vizee wangekuwa mbali ndo kwanza wanajaza vifua huku kiuno kidogo kama mpaka wa kinu

Tufanye kazi
Wanawake siku hizi wanataka 50/50 wenyewe hawafosiwi
 
Nimeshapewa sana hela na wanawake zangu tofauti ila ni sababu ya upendo tu. Mwanamke ni mtoaji mzuri tu akiwa anakupenda 😄 na umemuingia vizuri moyoni.

Tumingle na wanawake wanaotupenda sio tunaowafosi watukubali. Automatically utashangaa jinsi walivyo watoaji na wasivyopiga mizinga.
 
Hbari

Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile

Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea, kukusaidia tu na hajawahi hata kuiongelea kwamba aliwahi kukupa pesa

Kwa sisi wanaume ni kawaida sana unakuta ke hata sio rafiki Yako au hata sio mpenzi wako , akakuomba pesa na ukamsaidia na usisimulie popote palee, na hata haumtaki useme Nampa labda Kuna siku nimtongoze hapana.

Kwa Nini? Wanawake na pesa ni baba mmoja mama mmoja , hata ikitokea akakupa pesa na ni ndogo kiasi Gani! Ipo siku atakukumbushia tu ni kwann? Au ndio wameumbwa kupokea tu na sio kutoa

Na miaka hii wanatunzana kwenye mashughuli Sasa nasikia akutunze alaf na yeye akapata shughuli haujaenda kumtunza nasikia anakuja kudai vitu vyake, yaani wao hawakubali kutoa tu bila kupokea , hii ni mbaya
Nakumbuka nilikuwa na mchuchu wa JF enzi hizo, kakipata dili kananipa nusu. Nikikataa kanalalamika sana mpaka nachukua ila naziweka.

Nilichogundua mabinti wa kichagga wanapenda sana kutoa hela ila umpate kutoka kusini… mwenyezi mungu nipe hekima ya kukaa kimya.
 
Makabila hayo ya kusini jinsia zote ni wachoyo kutoka damuni
 
Mwanamke akikupa pesa ujue ni deni, ipo siku tu, ipo siku utakumbushiwa
 
Back
Top Bottom