Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Dunia ina maajabuu yake mkuuAisee
Wanawake siku hizi wanataka 50/50 wenyewe hawafosiwiWanaume siku imekuwa aibu kukuta wanadiskasi mwanamke kapita na gari watampataje wapate maisha rahisi
Em tufanyeni kazi kubabake hakuna maisha marahisi wanawake wangekuwa wanahonga kihivyo hao wanadate mishangazi na mabibi vizee wangekuwa mbali ndo kwanza wanajaza vifua huku kiuno kidogo kama mpaka wa kinu
Tufanye kazi
Nakumbuka nilikuwa na mchuchu wa JF enzi hizo, kakipata dili kananipa nusu. Nikikataa kanalalamika sana mpaka nachukua ila naziweka.Hbari
Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile
Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea, kukusaidia tu na hajawahi hata kuiongelea kwamba aliwahi kukupa pesa
Kwa sisi wanaume ni kawaida sana unakuta ke hata sio rafiki Yako au hata sio mpenzi wako , akakuomba pesa na ukamsaidia na usisimulie popote palee, na hata haumtaki useme Nampa labda Kuna siku nimtongoze hapana.
Kwa Nini? Wanawake na pesa ni baba mmoja mama mmoja , hata ikitokea akakupa pesa na ni ndogo kiasi Gani! Ipo siku atakukumbushia tu ni kwann? Au ndio wameumbwa kupokea tu na sio kutoa
Na miaka hii wanatunzana kwenye mashughuli Sasa nasikia akutunze alaf na yeye akapata shughuli haujaenda kumtunza nasikia anakuja kudai vitu vyake, yaani wao hawakubali kutoa tu bila kupokea , hii ni mbaya
Makabila hayo ya kusini jinsia zote ni wachoyo kutoka damuniNakumbuka nilikuwa na mchuchu wa JF enzi hizo, kakipata dili kananipa nusu. Nikikataa kanalalamika sana mpaka nachukua ila naziweka.
Nilichogundua mabinti wa kichagga wanapenda sana kutoa hela ila umpate kutoka kusini… mwenyezi mungu nipe hekima ya kukaa kimya.
Polee mkuu50k ila kelele zilizopigwa hapo, ambulance isubiri nje