Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Nina One ya Olevel na Advance lakini kitaa nimezungusha.

Baadhi ya classmate wangu waliofeli primary sasa ni madon
Kuna shosti angu zero form 6 sasa hivi ndo Don kwenye makundi yetu demu ana helaaa balaa!Waswahili wanasema kusoma kuelewa kukesha mbwembwe!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nilipiga I ya Point 18 Ordinary Level Yombo Tech
Nilipiga I ya Point 09 Advanced Level HGL huko Kantalamba
Nilipiga GPA ya 3.2 Lower Second UDSM
.
.
Nimepoteza miaka 9 shuleni nilivyorudi kitaa waliofeli O' Level wamefanikisha yafuatayo;
1. Wana Biashara zilizoshamiri;
2. Wamejijenga kiuchumi na kimaisha;
3. Wamejijenga Kijamii;
4. Wamejijenga Kisiasa;

Kwa UFUPI;
Nimeajiriwa na Classmate wa STD VII ambaye hajui mlango wa darasa la Sekondari wala Chuo.
.
.
Nimezunguka na bahasha za khaki mpaka zikiniona tu zinalowa jasho;
.
.
Kila nikiwasikiliza wabunge wa JMT roho inamani kuchomoka!!
18 siyo one mkuu
 
Kwenda shule hakukuzuia kufanya miradi yako mkuu.
 
Kupiga one kitu simple sana Ouvrier level na A level ukisom HGK
Wala huhitaji nguvu kubwa
 
PGM iliniangamiza na hasira adi leo kila nikikumbuka,..aisee ukiamua kula boga kula na ua lake.
 
Wivu unakusumbua..

Nikikutumia na matokeo yangu ya chuo nadhani ndo utazimia kabisa...

Hivyo ni vitu vya kawaida sana...
Kupiga one ni jambo la kawaida sana. Haiitaji mpaka uscreenshot kuutangazia umma. Anyway nilipiga one o level pia, komaa upige one pia ya kitaa. Kila la kheri!!
 
Back
Top Bottom