Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hahqhhahaa! Utaambiwa unawaonea wivu!Status: online
Wakikuambia utanijibu nami nikaresit nipige one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahqhhahaa! Utaambiwa unawaonea wivu!Status: online
Wakikuambia utanijibu nami nikaresit nipige one
Una akili sana wewe Mzee!!!!One ya makaratasi ina saidia nin!!! Kuna one ya maisha wanazo wakinga kibao awajui ata kusoma!!!!
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mungu fundi, mwisho wa siku wote tutakufa, mvua ikinyesha leaching inatokea madegree, madiploma, ma certificate, madivision yoteee yote yanasombwa na maji kutoka ardhini yanakuwa deposited baharini na maziwa, shida kweli kweli...tumche MunguKama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Hela za manyokaNa wanyantuzu..masuala ya milion 600 hadu 1b kwao kugusa tu...ukiwaona hawajahi hata kuvaa tai ..[emoji3062]
Imani!Hela za manyoka
Kwa Hali ya kawaida tu jua Ni hela za manyoka .Mm nimekutana na dogo ana 23 yrs ana 1b! Ana elimu ya std 4!
Ana utitiri wa mitumbwi ya kuvulia acha kbs .yaan kijiji kizima wanamtegemea yeye! Narudia ana 1b...alinionesha akaunt nikarudi gheto kulala!
Kuna jamaa amesomeaga dit ni kichwa balaa... alikua kampuni fulan.maarufu...nimewah kaa naye kama 8mths migodini akisoma mchezo ajabu yulr jamaa ana maisha ya kimaskini kbs...mm nilikua nikifeli mishe zangu ile nna stress yy ndo alikua ananisovia fasta mambi yananyooka[emoji38][emoji38]!
Anakupa idea anakuchorea kila.kitu kwa kitabu anakuambia hebu ifanye utatoka..ila yy kila kitu walaaa...nikaja gundua ni mwathirika wa forex...yaan anahitaji sana maombi...anachoma hela balaa forex...! Haya maisha mm siyaelewagi pia[emoji1787]!
Kifupi ushukuru tu kwa kidogo unachopata
Hahahaa sozi? Yaan nimeiona ajali yake sikujua kama ndo wao..nilikua safarini to Mafinga...dah naskia mwanaye wa form2 hatak tena kusoma!..mie too ni family friends wetu na ni majirani tooKwa Hali ya kawaida tu jua Ni hela za manyoka .
Za akina mwandulami .
Hizo kiuhalisia hata wewe unaweza zipata ,unatoa mwanao kafara unazipata
Hapa kitaa kwetu Kuna jamaa ana miliki godown kubwa Sana na mashine za kusaga Ni hustler kweli kweli kwa macho ya nje .
Ila amedanja hivi juzi Kati na mkewe inasemekana wamekosea masharti ya "babu"
Room kwake wamekutana pesa kwenye viroba just pesa kwenye viroba zimejaa huyu utajua tu pesa za masharti
Huyo huyo mkuuHahahaa sozi? Yaan nimeiona ajali yake sikujua kama ndo wao..nilikua safarini to Mafinga...dah naskia mwanaye wa form2 hatak tena kusoma!..mie too ni family friends wetu na ni majirani too
Wewe Basi tuko mtaa mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaa sozi? Yaan nimeiona ajali yake sikujua kama ndo wao..nilikua safarini to Mafinga...dah naskia mwanaye wa form2 hatak tena kusoma!..mie too ni family friends wetu na ni majirani too
Nice....nawafahamu ..Wewe Basi tuko mtaa mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwake na ninakoa kaa Mimi Ni dakika 2 tu [emoji1787][emoji1787]
PoapoaNice....nawafahamu ..
Duh[emoji23][emoji23]O-level, nikapelekwa vipaji PCB,
Kwa mara ya kwanza nilijuta kufaulu kwa shughuli niliyokutana nayo kule.
Matokeo nayo yalivyotoka....[emoji84][emoji84][emoji83][emoji83]
Sitaki mazoea humu.
Anyway
Nasajili laini kwa alama za vidole,
Naunganisha Line za chuo,
Narudisha line zilizopotea,
Naweka liquid protector
Nabadilisha ringtones,
Nasafisha nyota,
Nasahaulisha madeni na kodi.