Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

😀😀 nimeandika nikafuta
Unajua kuna ka ukweli katika hoja ya mleta mada? wengi wanaofanya vizuri wanaishia kuwa middle class (nyumba moja, gari moja, na vi-miradi vidogo vidogo hapa na pale). Na katika hili kundi unakuta wanahimiza watoto wao wasome kwa bidii. Katika wanaofeli darasani, wapo wanaofaulu kupata pesa, lakini wengi wanaishia daraja la chini. wakibahatika kupata pesa, baadhi wanazipata kiujanja ujanja au kwa kutumia nguvu nyingi sana (most are too mechanical). ingawa pia wapo wanaopasua mpaka kwenye pick ya juu kabisa. Kila kitu kina exception.

In fact hata siku hizi hata aliyefeli shule au ambaye hakwenda kabisa anapambana mwanae aende shule nzuri na afaulu vizuri. Ukienda Moshi ISM au DAR IST wamejaa watoto wa wafanya biashara ambao hawakusoma!

Siku hizi kila mtu anajua umuhimu wa hiyo one. haya mengine ni kijifariji tuu. kama una pesa saidia mwanao aende shule nzuri.
 
Kupiga one so what! Siyo issue. Magenious wote duniani waliovumbua mambo hawakufanya vizuri darasani. Unaweza ukapata one kwa kudesa na yule aliyepata two ikawa ni halali na akawa mkali kuliko wewe!! Tunawapata hao wa one vyuoni mpaka huwa tunashangaa hizi kweli zilikuwa marks zao O level au A level? Kwenye real life hiyo one haitakusaidia chochote.
Jifunze kubishana kwa hoja
 
Unajua kuna ka ukweli katika hoja ya mleta mada? wengi wanaofanya vizuri wanaishia kuwa middle class (nyumba moja, gari moja, na vi-miradi vidogo vidogo hapa na pale). Na katika hili kundi unakuta wanahimiza watoto wao wasome kwa bidii. Katika wanaofeli darasani, wapo wanaofaulu kupata pesa, lakini wengi wanaishia daraja la chini. wakibahatika kupata pesa, baadhi wanazipata kiujanja ujanja au kwa kutumia nguvu nyingi sana (most are too mechanical). ingawa pia wapo wanaopasua mpaka kwenye pick ya juu kabisa. Kila kitu kina exception.

In fact hata siku hizi hata aliyefeli shule au ambaye hakwenda kabisa anapambana mwanae aende shule nzuri na afaulu vizuri. Ukienda Moshi ISM au DAR IST wamejaa watoto wa wafanya biashara ambao hawakusoma!

Siku hizi kila mtu anajua umuhimu wa hiyo one. haya mengine ni kijifariji tuu. kama una pesa saidia mwanao aende shule nzuri.
Shule ina umuhimu katika kila kitu mkuu
 
Sasa hoja kama hii ina msaada gani kwa Taifa. Halafu tunalalamika nchi yetu ni masikini
 
Advance level na Chuo nilitoka na Hons
Nakama mnataka kujua kama maisha yananichapa, kwa taarifa zenu hayanichapi!
 
Mshikaji alipiga one advance chuo gpa ya 4.0 akakutwa anauza scientific culculators Mabibo hostel....pia akakutwa anchotea maji wanafunzi wenzake Ubungo Msewe.......wewe jamaa siwezi kukusahau popote ulipo Mungu akunyoosheee elimu, utashi na mapito yako sijayasahau almost a decade now..........
 
Shule ina umuhimu katika kila kitu mkuu

Mimi leo tungelikuwa na option ya kurudia utoto na tuchague njia ya maisha, hakika ningechagua njia niliyoipitia (na changamoto nilizokutana nazo)!

Bado naamini elimu ndo mkombozi wa kweli especially kwetu wengi tunaotoka familia zenye vipato duni.

Leo hii tajiri anataka awe na bima ya afya iliyoshiba..akatibiwe Aga khan au Ulaya. Kwa nini asiridhike na Mwananyamala? ni kwa sababu anaamini madaktari wazuri wapo Aga Khan! Hao madaktari wazuri wanapatikanaje? jibu unalo.

Tunapambana watoto waende academies na international schools, hata kwa kujinyima. kwa nini tusiridhike na shule za mwendazake na voda fasta za Lowassa? jibu unalo...

Mwisho wa siku hata ungekuwa na pesa kiasi gani unamtegemea mwenye hiyo div. one.....kufurahia maisha yako!

Kikubwa ni kwamba kila mtu ajitathmini na kujiamini kwa nafasi yoyote aliyonayo. Ukiwa na elimu si gurantee kwamba utakuwa na maisha mazuri. Lakini ukipambana, lazima mda utafika nuru utaiona.

Daima naamini elimu ndo mkombozi wa kweli! Mengine ni kufarijiana tuu humu....
 
Kama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Unatulazimisha tukidanganywa Mkuu? Sasa subiri uone Mrejesho wetu hapa.

Usichokijua ni kwamba JamiiForums ukiniondoa tu Mimi hutokuta Members wengine wanakuambia ama ni Choka Mbaya Kiuchumi au wamewahi Kufeli Kitaaluma tokea Kindagarten Level.
 
Hahaha I know mkuu
 
Humu kila mtu yupo vizuri huu mtandao kama mtu hana elimu inayoeleweka hawezi kuutumia
 
Mi nilipiga two ya mwanzo form 6 wakat form 4 nilipiga 3. na nlivyokuwa mtundu shule walimu hawakuamini ningepiga 2 kama msichana pekee kwny point zile. Sema nini haya matokeo si lolote bila alama nzuri chuo nyie
 
Back
Top Bottom