Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Ndio maana wafanya biashara wakiajiriwa ataachana tu na ajira akajiajiri, ila asieweza biashara kuajiriwa is the best option kwake.

Kuna wanaoacha kazi wanaanzisha biashara na wanatusua, kuna wanaoacha wanaanzisha biashara zinaanguka, then wanapambana hawakati tamaa zinasimama tena. Kuna wale wenzangu na mie anaanzisha biashara inakufa na harudii tena, mwisho kuna wale hawawezi kuthubutu hata kuuza pipi. Hawa kundi la mwisho sasa ndio wateja wenu wanafanyabiashara.

Wafanya biashara wanafanikiwa maana wanatumia akili zao to the maximum kuliko waloajiriwa.

Ila mwisho wa siku tunaishi kwa kutegemeana lol, tukifanya biashara wote nani sasa atabaki nyumbani kukulelea watoto ukiwa huko migodini mama, au nani atawafundisha watoto wako shuleni, nani atakutibu ukiugua nk nk nk[emoji6]
Ameeeeeen.
 
Hapo ni kwa Olevel.

Ila mkoa niliosomea, Pepa ya Mock A ilikuwa inaanzia 85. Jemba zilikuwa zinapiga hizo A kama kawaida
Kwani kipindi hiko Mock exams ilikua haitumii muongozo wa wizara au?
 
Kwakweli katika suala la Elimu amefanikiwa sana kwa watoto wake,mpaka pale mtaani anapata heshima sana coz tuna vihistoria ambavyo havijawahi kutokea mpaka leo
Inatia sana moyo kwa mzazi aise...maana hapo angesemwaa...! Raha mno aise!
 
Kwani kipindi hiko Mock exams ilikua haitumii muongozo wa wizara au?
Mkoa huo ulikiwa na system yake sijui kwa nini, ila niliipenda sana.

Mock nilipoga two, NECTA nikapiga one.

Kwa mantinki hiyo nilikuwa nasema endapo nikipiga two mock ni sawa na one ya NECTA, bahati nzuri huo utabiri ukaja ukawa kweli.

Kipanga wetu alipiga Mock one ya 13, NECTA akapiga one ya 9.
 
Mkoa huo ulikiwa na system yake sijui kwa nini, ila niliipenda sana.

Mock nilipoga two, NECTA nikapiga one.

Kwa mantinki hiyo nilikuwa nasema endapo nikipiga two mock ni sawa na one ya NECTA, bahati nzuri huo utabiri ukaja ukawa kweli.

Kipanga wetu alipiga Mock one ya 13, NECTA akapiga one ya 9.
Ila mitihani ya Mock huwaga ni migumu San sijui why,
 
Nilipiga I ya Point 18 Ordinary Level Yombo Tech
Nilipiga I ya Point 09 Advanced Level HGL huko Kantalamba
Nilipiga GPA ya 3.2 Lower Second UDSM
.
.
Nimepoteza miaka 9 shuleni nilivyorudi kitaa waliofeli O' Level wamefanikisha yafuatayo;
1. Wana Biashara zilizoshamiri;
2. Wamejijenga kiuchumi na kimaisha;
3. Wamejijenga Kijamii;
4. Wamejijenga Kisiasa;

Kwa UFUPI;
Nimeajiriwa na Classmate wa STD VII ambaye hajui mlango wa darasa la Sekondari wala Chuo.
.
.
Nimezunguka na bahasha za khaki mpaka zikiniona tu zinalowa jasho;
.
.
Kila nikiwasikiliza wabunge wa JMT roho inamani kuchomoka!!
Hivi O level kuna 1 ya point 18??????
 
Kama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Kupiga one so what! Siyo issue. Magenious wote duniani waliovumbua mambo hawakufanya vizuri darasani. Unaweza ukapata one kwa kudesa na yule aliyepata two ikawa ni halali na akawa mkali kuliko wewe!! Tunawapata hao wa one vyuoni mpaka huwa tunashangaa hizi kweli zilikuwa marks zao O level au A level? Kwenye real life hiyo one haitakusaidia chochote.
 
Huu uzi wa vijana…..maana naona vyeti vyote vilivyowasilishwa vimesainia na ndalichako…Sijaona hata kimoja kilichosainiwa na akina Charles Kabeho 👀 👨‍🦯
 
Back
Top Bottom