Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Lakini mishahara ya internship ( haina makato ) sidhani kama ina tofauti kubwa na mishahara ya ajira iliyojaa makato.

Ajira za serikali kuu hazina maajabu sana.
Unapewa 80% ya mshahara wa mwajiriwa, ambao hauna tofauti na take home ya huyohuyo mwajiriwa
 
O-level, nikapelekwa vipaji PCB,
Kwa mara ya kwanza nilijuta kufaulu kwa shughuli niliyokutana nayo kule.

Matokeo nayo yalivyotoka......😂😂😂😂.
Sitaki mazoea humu.

Anyway
Nasajili laini kwa alama za vidole,
Naunganisha Line za chuo,
Narudisha line zilizopotea,
Naweka liquid protector
Nabadilisha ringtones,
Nasafisha nyota,
mkuu umenichekesha sana kunywa mirinda nyeusi hapo da kwi kwi kwi kwi kwi mi nilibahatisha nikiwa form six ila mpaka leo sielewi ulitokea muujiza gani nikapata 1 manake nilikua sisomi kiivyo kwanza sijawai kukesha 2008 iyo
 
Nilifeli o level nikapata PhD ya maisha ......SASA hivi Nina biashara zangu na nyumba tatu..........nyie mliokuwa mnachukua zawadi shuleni mko wapi??
Hata nyumba ya tembe ni nyumba. Kwangu mimi mtu akisema nyumba ni ya kuanzia iliyotumia gharama ya milioni 70 na kuendelea. Chini ya hapo bora kukaa kimya.
 
O-level, nikapelekwa vipaji PCB,
Kwa mara ya kwanza nilijuta kufaulu kwa shughuli niliyokutana nayo kule.

Matokeo nayo yalivyotoka......😂😂😂😂.
Sitaki mazoea humu.

Anyway
Nasajili laini kwa alama za vidole,
Naunganisha Line za chuo,
Narudisha line zilizopotea,
Naweka liquid protector
Nabadilisha ringtones,
Nasafisha nyota,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Just employ your weakness.

Hata ukisoma, huwezi kusoma kila kitu. Hata Bakheresa kaajiri wasomi wafanye kazi ambazo yeye haziwezi.

Nashauri, Kusoma ukiwa huna kipato cha uhakika ( ajira ) mwisho iwe Bachelor Degree.

Ukisoma zaidi ya hapo na huna kipato, unajitia uwoga wa maisha na asilimia kubwa maisha yatakushinda utabaki na aibu.
You make alot of sense.

Wasiosoma wanajipaga matumaini makubwa wasijue wao ndo wale wanaoishusha tz kwenye mstari wa umasikini.
 
Inaitwa kutesa kwa zamu, enzi za shule ulikuwa unatereeeeza tuu mitihani sijui ya shule unapiga mabanda tuu NECTA unapiga zako kama Weekly test. Kuna majamaa ulikuwa unaona kama wanakwaama wapi sijui hata kufikisha 21% ambayo ni D kipindi icho issue.Leo hii wale miamba wanakuona unakwama wapi Bro hata mchongo wa kupata elfu 10 kwa wiki issue. Life haina formula kwa kweli,, mpaka sasa tunajivunia na One zetu ila tunakopa hela kwa miamba yenye FFFFFFD yaani. Hata hivyo maisha lazima kuendelea, pongezi kwa mliotusua kuanzia shule hadi kitaani (Wengi wetu kuna upande mmoja unalegalega au uko hohehahe). Nafikiri hili linahitaji utafiti wa kina kujua inakuwagaje hii contraversal.
 
Msomi mzuri wa vyeti bila pesa utaitwa mwendawazimu, kichaa sijui nn mwisho wa siku utaanza kuwa unangalia majina ya teuzi za raisi kama jina lako limo
 
Back
Top Bottom