Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Porojo yule jamaa.. ana karibu mwaka hajapost video yeyote.Ila youtube yupo
Sasa hivi yuko twitter anazungumzia cryptocurrency.
Instagram aliniblock.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Porojo yule jamaa.. ana karibu mwaka hajapost video yeyote.Ila youtube yupo
Hii cryptocurrency na mm nataka nijifunze ..! Sema nakosa muda mtulivuPorojo yule jamaa.. ana karibu mwaka hajapost video yeyote.
Sasa hivi yuko twitter anazungumzia cryptocurrency.
Instagram aliniblock.
Ndio maana wafanya biashara wakiajiriwa ataachana tu na ajira akajiajiri, ila asieweza biashara kuajiriwa is the best option kwake.Hakika...naielewa hii
😀😀😀 kila kiumbe lazima kiishi kwa kutegemeana !nadhan mada imebadili tu upepo kuwa je nyir wasomi standard zenu za maisha mnaona zinaendana na elimu mliyopata?Ndio maana wafanya biashara wakiajiriwa ataachana tu na ajira akajiajiri, ila asieweza biashara kuajiriwa is the best option kwake.
Kuna wanaoacha kazi wanaanzisha biashara na wanatusua, kuna wanaoacha wanaanzisha biashara zinaanguka, then wanapambana hawakati tamaa zinasimama tena. Kuna wale wenzangu na mie anaanzisha biashara inakufa na harudii tena, mwisho kuna wale hawawezi kuthubutu hata kuuza pipi. Hawa kundi la mwisho sasa ndio wateja wenu wanafanyabiashara.
Wafanya biashara wanafanikiwa maana wanatumia akili zao to the maximum kuliko waloajiriwa.
Ila mwisho wa siku tunaishi kwa kutegemeana lol, tukifanya biashara wote nani sasa atabaki nyumbani kukulelea watoto ukiwa huko migodini mama, au nani atawafundisha watoto wako shuleni, nani atakutibu ukiugua nk nk nk[emoji6]
Sasa hivi hazungumzii kuku wala mashamba. Anadandia kila "kikorokoro" anachosikia kina pesa, kinalipa.Porojo yule jamaa.. ana karibu mwaka hajapost video yeyote.
Sasa hivi yuko twitter anazungumzia cryptocurrency.
Instagram aliniblock.
Usiwe na pesa ya mawazo. Yaani usitegemee hiyo pesa ya cryptocurrency ikuendeshee maisha.Hii cryptocurrency na mm nataka nijifunze ..! Sema nakosa muda mtulivu
Ila mbona mie namuona huyu sirleaf kama ana akili fulani?yaan namuona smart upstairs! Au nna shida! Yaan namuona ontario ni mtu anayejua thamani yakeSasa hivi hazungumzii kuku wala mashamba. Anadandia kila "kikorokoro" anachosikia kina pesa, kinalipa.
Hivi karibuni Elon Musk kawadumbukiza wote kwenye shimo la tope kuhusu Bitcoin, huko Twitter na Instagram wanamlaumu mwanzo mwisho🤣🤣🤣
Kusema ukweli nilianza kumuona janja janja huyu jamaa. Niliona mahali anasema anarudi JF.Sasa hivi hazungumzii kuku wala mashamba. Anadandia kila "kikorokoro" anachosikia kina pesa, kinalipa.
Hivi karibuni Elon Musk kawadumbukiza wote kwenye shimo la tope kuhusu Bitcoin, huko Twitter na Instagram wanamlaumu mwanzo mwisho🤣🤣🤣
Had june nataka kujua abc zake ..! Maisha magumu kitaa atiUsiwe na pesa ya mawazo. Yaani usitegemee hiyo pesa ya cryptocurrency ikuendeshee maisha.
Hizi biashara zingine zinafaa watu wenye pesa zao tayari naonaga kama kilimo tu.
Wala hujakosea. Mpambanaji kweli ila upambanaji wake una walakini. Ukimfatilia vyema utajua.Ila mbona mie namuona huyu sirleaf kama ana akili fulani?yaan namuona smart upstairs! Au nna shida! Yaan namuona ontario ni mtu anayejua thamani yake
Sio wote, kama tu ambavyo sio ambao hakusoma wote wamefanikiwa.[emoji3][emoji3][emoji3] kila kiumbe lazima kiishi kwa kutegemeana !nadhan mada imebadili tu upepo kuwa je nyir wasomi standard zenu za maisha mnaona zinaendana na elimu mliyopata?
Hakika! Lakini kamzani kameegamia kule zaidiSio wote, kama tu ambavyo sio ambao hakusoma wote wamefanikiwa.
Pambana madam, kujifunza hakuna mwisho.Had june nataka kujua abc zake ..! Maisha magumu kitaa ati
Kameegemea wapi?Hakika! Lakini kamzani kameegamia kule zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bi mkubwa wako ni mtu wa town sana inaonekana!Hua anaamini kua nilitakiwa kupata zaidi ya hapo,alikua anajua mie ni kichwa sana,so matokeo yalivyotoka akaniomba namba ya mtihani ili akaaniangalizie ofisini kwake,wakati huo kashawaandaa wafanyakazi wenzie(bi mkubwa ni mtu wa kupenda sana sifa),yeye alijua ni point 7 kama nimefail sana basi iwe hata 8 basi.......... ila hakuamini alichokutana nacho,alilalamika miaka 5 yote
Nadhani tuache kulaumu...shida yetu iko hapo kama jamii dah...! Nadhan gonjwa la uvivu limetamalaki...its like wale wanaosemaga siri ya utajiri anayo mhusika .oh usione watu wana maisja mazuri kuna mambo nyuma yake😇🤣🙌Wala hujakosea. Mpambanaji kweli ila upambanaji wake una walakini. Ukimfatilia vyema utajua.
Haupo balanced...maisha sio!magumuKameegemea wapi?
Asieajiriwa ana nafasi kubwa zaidi kufanikiwa maana hana option nyingine kama ataamua kuitumia akili yake vizuri. Mshahara hudumaza akili.Haupo balanced...maisha sio!magumu