Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Hakika...naielewa hii
Ndio maana wafanya biashara wakiajiriwa ataachana tu na ajira akajiajiri, ila asieweza biashara kuajiriwa is the best option kwake.

Kuna wanaoacha kazi wanaanzisha biashara na wanatusua, kuna wanaoacha wanaanzisha biashara zinaanguka, then wanapambana hawakati tamaa zinasimama tena. Kuna wale wenzangu na mie anaanzisha biashara inakufa na harudii tena, mwisho kuna wale hawawezi kuthubutu hata kuuza pipi. Hawa kundi la mwisho sasa ndio wateja wenu wanafanyabiashara.

Wafanya biashara wanafanikiwa maana wanatumia akili zao to the maximum kuliko waloajiriwa.

Ila mwisho wa siku tunaishi kwa kutegemeana lol, tukifanya biashara wote nani sasa atabaki nyumbani kukulelea watoto ukiwa huko migodini mama, au nani atawafundisha watoto wako shuleni, nani atakutibu ukiugua nk nk nk[emoji6]
 
😀😀😀 kila kiumbe lazima kiishi kwa kutegemeana !nadhan mada imebadili tu upepo kuwa je nyir wasomi standard zenu za maisha mnaona zinaendana na elimu mliyopata?
 
Porojo yule jamaa.. ana karibu mwaka hajapost video yeyote.
Sasa hivi yuko twitter anazungumzia cryptocurrency.
Instagram aliniblock.
Sasa hivi hazungumzii kuku wala mashamba. Anadandia kila "kikorokoro" anachosikia kina pesa, kinalipa.

Hivi karibuni Elon Musk kawadumbukiza wote kwenye shimo la tope kuhusu Bitcoin, huko Twitter na Instagram wanamlaumu mwanzo mwisho🤣🤣🤣
 
Ya High School.haikunisaidia lolote. Now napambania Two ya maisha maana uzee nao hauko mbali sana.
Elimu yetu ina shiada mahala fulani nafikiri
 
Sasa hivi hazungumzii kuku wala mashamba. Anadandia kila "kikorokoro" anachosikia kina pesa, kinalipa.

Hivi karibuni Elon Musk kawadumbukiza wote kwenye shimo la tope kuhusu Bitcoin, huko Twitter na Instagram wanamlaumu mwanzo mwisho🤣🤣🤣
Ila mbona mie namuona huyu sirleaf kama ana akili fulani?yaan namuona smart upstairs! Au nna shida! Yaan namuona ontario ni mtu anayejua thamani yake
 
Sasa hivi hazungumzii kuku wala mashamba. Anadandia kila "kikorokoro" anachosikia kina pesa, kinalipa.

Hivi karibuni Elon Musk kawadumbukiza wote kwenye shimo la tope kuhusu Bitcoin, huko Twitter na Instagram wanamlaumu mwanzo mwisho🤣🤣🤣
Kusema ukweli nilianza kumuona janja janja huyu jamaa. Niliona mahali anasema anarudi JF.
 
Usiwe na pesa ya mawazo. Yaani usitegemee hiyo pesa ya cryptocurrency ikuendeshee maisha.
Hizi biashara zingine zinafaa watu wenye pesa zao tayari naonaga kama kilimo tu.
Had june nataka kujua abc zake ..! Maisha magumu kitaa ati
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kila kiumbe lazima kiishi kwa kutegemeana !nadhan mada imebadili tu upepo kuwa je nyir wasomi standard zenu za maisha mnaona zinaendana na elimu mliyopata?
Sio wote, kama tu ambavyo sio ambao hakusoma wote wamefanikiwa.
 
Hua anaamini kua nilitakiwa kupata zaidi ya hapo,alikua anajua mie ni kichwa sana,so matokeo yalivyotoka akaniomba namba ya mtihani ili akaaniangalizie ofisini kwake,wakati huo kashawaandaa wafanyakazi wenzie(bi mkubwa ni mtu wa kupenda sana sifa),yeye alijua ni point 7 kama nimefail sana basi iwe hata 8 basi.......... ila hakuamini alichokutana nacho,alilalamika miaka 5 yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bi mkubwa wako ni mtu wa town sana inaonekana!
 
Wala hujakosea. Mpambanaji kweli ila upambanaji wake una walakini. Ukimfatilia vyema utajua.
Nadhani tuache kulaumu...shida yetu iko hapo kama jamii dah...! Nadhan gonjwa la uvivu limetamalaki...its like wale wanaosemaga siri ya utajiri anayo mhusika .oh usione watu wana maisja mazuri kuna mambo nyuma yake😇🤣🙌
 
Enzi hizo vichwa vya moto kwelikweli...

E0C5D7E5-D989-492C-ABEC-65891E06A460.jpeg
 
Back
Top Bottom