Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Exactly. Ana uwezo na ni smart but nahisi na utoto unachangia.Ila mbona mie namuona huyu sirleaf kama ana akili fulani?yaan namuona smart upstairs! Au nna shida! Yaan namuona ontario ni mtu anayejua thamani yake
Ana mihemko sana, na anapenda kushindana sana ku-prove watu wrong hata sijui kwanini.
Kuna kipindi alikuwa anasema "the goal is to be rich, and not to be famous" lakini cha kushangaza sasa hivi anapambana kuwa maarufu.
But, Mimi sishangai dunia ya sasa hivi ukishakuwa na kundi la wafuasi misukule ( blind followers ) ni biashara kubwa sana.
Ukiitisha darasa la dakika 60 kwa Tsh 40,000 ukapata watu 100 tayari ni 4M.
Ni biashara ngapi unaweza kuingiza 4M ndani ya dakika 60 kwa kupiga porojo tu.