Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kuna kajinga kamoja kamesema ni chai!..Mwaka jana niliingia bureau de change fulani pale Kariakoo nikamkuta Msukuma mmoja amechenji tshs akaondoka na $200,000. Ungeweza kumdharau kwa jinsi alivyokuwa simple!
Huenda hata mlango wa darasa la sekondari haujui. Tusitishane na hizo division one!
Hebu pata picha mtu kwa siku anakusanya misamaki zaidi ya kilo 2000 ni mwenzako huyu? Yaan kisiwa chote mitumbwi ni yake...jion analetewa tu samak anahesabu tu kilos...kuna watu wana hela nyie cheni tu hata haka kadogo ni kachafuuuuuu..kana kiduku ila ndo kana hela balaa