Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Street smartness ndio kitu 'wapiga msuli' wanakikosa.
 
Wanasomea wasicho kijua ndio maana havi work walivyo soma kwenye maisha yao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. wa div 3 ya mwisho na wao hatuchekani
Hata marekani,Ulaya,China,India wenye kumiliki makampuni makubwa duniani hawanaga AAA bali wana creativity power.
Zlatan Tata wa India anamiliki kampuni kubwa sana ya viwanda mbalimbali vikiwemo vya magari ila hana digrii ya Automobile/ Mechanical .
 
Naielewa sana Advance hasa kwa PCM, PCB, PGM.

Akikaa kimya hilo ni jibu tosha.

Nilibahatika kuangukia miongoni mwa kombi hizo hapo juu, cha mtema kuni nilikiona, ila namshukuru Mungu, Physics ilinipa sana heshima
[emoji1][emoji1][emoji1] Ha ha hizo comb zilihaibisha wengi sana
 
Kwani chuo kikuu huwa wanataka 3 au principle pass. Pale uhasibu kwa mfano hakuna wenye 3.
Vipi wale wenye 4 wanagonga certificate mpaka digrii wanatofauti gani na wewe uliepitia 6 wakati wote mnacheti pengine na GPA hamtofautiani sana.
Hivi kule bungeni ni 1 ndio nyingi,wakuu wa wilaya,mikoa,wakurugenzi wa serikalini wana one wale kweli!
Sio ujanja, ujanja rushwa kujipendekeza,uchawi ndio vinavyowafikisha pale ?
Kwa uzoefu wangu watu wenye akili sana hawapendi habari za jujipendekeza, uchawi uchawi nk hivyo hutengwa na mfumo ujanja ujanja.
Mfano maafusa idara ya elimu wengi kule hawana one. Madaktari, engineer hao ndio wenye one wengi, ila wengi wao sio viongozi ispokuwa kwa idara zao tu.
Hebu tuchekeche vizuri hili jambo, higher rank with school perfomance, is there any correlation?
 
Kama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Shule ya msingi nilipata wastani wa B , O level Div II 18, Advance Div II 10 PCM , Chuo upper second class 3.7 GPA namshukuru Mungu maisha yangu ya kusoma yalikuwa ni wastani na sijatumia nguvu kama vile kukesha au kusoma sana
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Ha ha hizo comb zilihaibisha wengi sana
Wiki ya kwanza baada ya kuripoti na kuanza kusoma mchezo.
Ticha wa Phyz aliingia akapiga Projectile, Error and Dimension na Simple Harmonic Motion ndani ya kipindi kimoja cha dk 40, darasa zima tulipigwa na butwaa. Mimi binafsi nilipaniki, hadi nikaugua na kurudi home(kwa mlezi) kwanza.

Nilipoulizwa maendeleo ya shule, nilisema mambo ni hatari(uzuri huyu mlezi aligonga PCM anajua mziki wa Phyz).

Baada ya kupona nikatangaza vita moyoni mwangu, now the rest is history.

Sasa huku kitaa ndio kimbembe, Hamna kudrive formula kwanza kama nilivyokuwa nafanya kwenye physics, hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…