Umeshawahi kupita pahala usiku nywele zako zikasisimka sana

Umeshawahi kupita pahala usiku nywele zako zikasisimka sana

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Wajuvi wa mambo wanasema kwamba hali ya nywele kusisimka unapopita mahali fulani usiku jua kuwa hio sehemu sio nzuri huenda kukawa na washirikina mahali po au majini

Je? wewe ushawahi kuhisi hivyo baada ya kupita sehemu wkt wa usiku
 
Mimi kipara kilisisimka Makaburini njiani Usiku!
 
Mh! kwangu mie hapana ila nilishawahi kupita kwenye chocho hiyo usiku nikasikia sauti inanisemesha "Babu mbona unapita kwenye ofisi za watu bila kutoa ushuru!" ile nageuka nikala kabali moja inatwa "Mitano tena!".
ilikuwa nimepita kwenye ofisi ya watoza ushuru bila ridhaa yako!, hapo niliachiwa uhai,boxer na afya yangu tu ila mambo ya utanashati yalichukuliwa na tuhela tukabebwa,simu nayo ikatokomezwa!.. kuna kusisimka na kusisimuliwa!.. bora mnaopita kwenye ofisi za watu halafu mnasisimka kuna kusisimuliwa..😂
 
Ndio nilishawahi kupita Ktk msitu mkubwa Ktk mto luvanyina long time ago ilikuwa hatari afu Nyambuda walikuwa kibao
 
Uoga tuu mm hakuna kituu naogopa hapa duniani sio minimum sio mishetani sio wachawi
 
Mie Huwa zinasisimka nikiona mbususu
Screenshot_20240915-175409_1.jpg
 
Hiyo inatokea mara nyingi mazingira ya vijijin, mimi hali ambayo sielewi ni Hali ya jotojoto Kwa mwendo wa hatua kama mbili hivi linalotofautiana na hali ya hewa nyingine uliyoizoea
 
Back
Top Bottom