Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

Mimi niliagizwa nimpeleke dogo msimbazi center apige interview ya kuingia kidato cha tano mimi nikampeleka mtaa wa msimbazi kariakoo tukaanza kutafuta sasa sehenu ya kupigia interciew mpaka kwenye kituo cha polisi.
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
 
Dar tu Hapo mnapotea.. Mkija Hapa Durban itakuaje
 
muda huo usha fika sinza boya wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa na kawaida ya kutembea kutoka Muhimbili hadi posta kupita huku Hospitali ya Aghakhan. Nazurura, nakula samaki. Narudi jioni. Lakini wakati wa kurudi sipiti huko. Siku narudi usiku nikapotea, nikajikuta nimetokea wigo wa Gymkhana, naelekea baharini. Kunatisha sana usiku. Nilivyoona kumepoa akili ndiyo ikafunguka kuwa naenda upande tofauti. Ndiyo kugeuka.

Ila Kariakoo kupotea kitu kama duka ni rahisi sana.
 
Hii ni dharau sasa,kwani wanaoishi hizo sehemu hawawezi potea wakienda sehemu nyingine?! Hata hivyo Paris na NY pamepangika vizuri na data zake za location ni rahisi sana.Huyu unaemdharau Yes anaweza ishi hizo sehemu vizuri tu na asipotee.
Miji hiyo kila mtaa unapoanza na unapoishia kuna kibao kuonyesha jina. Ni vizuri Kariakoo napo waweke vibao vingi kuonyesha mitaa.
 
Pole Sana ,kwenye henganjifu umeniachia kicheko.Kila ukiacha mzigo sehemu uwe na notebook unaandika details za duka na mtaa.Utakuja kunishukuru
 

Umenifanya nimecheka sana mkuu
 
[QUOTE="Champagnee, post: 40197317, member: 533Kariakoo kila bidhaa najua mtaaa inakopatikana[emoji119]
Jibu ndo hili....sijawahi kupotea kariakoo na sitopotea...japokuwa Nina miaka miwili sijafika hapo!!![/QUOTE]Kupotea kkoo ni kujiendekeza tu.


Kama akili yako haijatulia imejaa mastress ya tozo unaweza ukapotea popote pale.
 
Jibu ndo hili....sijawahi kupotea kariakoo na sitopotea...japokuwa Nina miaka miwili sijafika hapo!!!
Kupotea kkoo ni kujiendekeza tu.


Kama akili yako haijatulia imejaa mastress ya tozo unaweza ukapotea popote pale.
[/QUOTE]
Sawa mzee 'Much-Know'
 
Hilo jiji hata saa tisa ucku sipotei japo nlikaa 5 year,yani kariakoo,posta,gerezani,jangwani,upanga,kamata,ilala,migomigo...huko kote hata nikae miaka 7 sijafika sipotei dar mitaa haibadiliki ni majengo ndio yanabadilishwa
 
Miji hiyo kila mtaa unapoanza na unapoishia kuna kibao kuonyesha jina. Ni vizuri Kariakoo napo waweke vibao vingi kuonyesha mitaa.
Vibao vipo ila inabidi uwe na akili ya ziada kuving'amua...kampuni ya tronik wamejitahid kuweka matangazo yao na majina ya mtaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…