Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

Ilinitokea hiyo mkuu hahahahaaa mwaka 2005 mbona jamaa akinichaji Elfu 20 anioneshe duka !!! Pole mkuu na hongera kwa kupata mizigo yako salama.
 
Pantomath pole Sana mkuuu..next time nicheki kwa usaidiz nikupe na new machimbo. Wasap # 0765929586
 
Wazo zuri nahisi jamaa alignore sababu ya haraka
 
Hii inatokeaga mkuu [emoji13]
 
Mkuu kwa Paris ni rahisi kutumia kuliko huku kwetu Tanzania sababu locations nyingi hazijawekwa kwenye ramani. Yaani binafsi nimekuwa nikiadd missing places nyingi tu, cha ajabu ni ofisi kubwa na bize lakini unakuta kwenye ramani hazipo.
 
Kama kisehemu kidogo tu kama Kariakoo unapotea, utaweza kuishi kwenye miji mikubwa kama Paris au New York kweli ?
 
Mkuu kwa Paris ni rahisi kutumia kuliko huku kwetu Tanzania sababu locations nyingi hazijawekwa kwenye ramani. Yaani binafsi nimekuwa nikiadd missing places nyingi tu, cha ajabu ni ofisi kubwa na bize lakini unakuta kwenye ramani hazipo.

Unajua tatizo ni kuwa watu hawana muamko bado wa technology ambapo duniani kila biashara inataka ijulikane kupitia mitandao na map ni muhimu sana
Mfanyabiashara yuko peke yake na duka lake halafu unakuta hata elimu hana
Lini atajua aweke jina humo?
 
Hata mie nilipotea,harafu nikawa nasubiliwa na watoto wa kike wachukue mzigo,mm nazunguka tu ,wao wanauliza upo wapi ??,mie nakujaaaa,unaanzaje kumwambia mtoto wa kike umepotea mchana kweupe? Walikuwa askari fulani, wananiambia tupo hapa sheli ,mm sheli naifaham ila siku hiyo niliitafuta bila kuiona

hadi wakakata tamaa ,wife ananipgia cm kuuliza nipo wapi ,si nikaanza kumlaum ,mnakaa mnanituma tuma tu,mm nimepotea ,ndo kuniulizia nipo maeneo yenye mwonekano gani ,nikamtajia ndo kuniambie nishike welekeo gani ndo pona yangu.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nilishawahi kuacha mzigo wa elfu 15 dukani, kurudi maduka yamefungwa, nikarudi kesho yake, mtaa naujua ila duka sasa, kila ninayemuuliza anasema hukununua hapa.

Nikaona isiwe taabu, ni kanunua kdi zingine nikasepa nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…