Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
HowInategemeana na mlivyoachana,
Au sioWalianza kwa kuhofia kama wewe mwishoe wakaondoa hofu nakuendelea ku-enjoy
Just enjoy life is too short.
MmmmHahahahahahahahahah nimeishia kucheka tu.....ngoja nikwambie kitu "Wakati mwingine kumpa mtu nafasi nyingine ni kama vile unampa risasi Tena Ili akumalize kwakua alikukosa mara ya kwanza"
Kabisa ni kupiga kimya shobo hamnaHuchukui round mtaitana Tena maex
Kuna mahusiano nilipitia niliumizwa Sana na yule dada nilihis Hadi kudata
Alikuwa wa kunizingua na kunirudia Mara kwa Mara ilikuw ndo tabia coz nlkuwa nampenda Sana na alijua Kama nampenda
Cha kuzingatia kwenye mahusiano yanayofufuliwa acha yeye ndo apiganie penzi/mapenzi yenu
Ucmpe mda wako Kam zaman ata utakuw na nyege sometime jfanye upo busy
Mpe mda usitoe ushirikiano wa kutosha Kam mwanzo Kam kwel atakuw na Nia atavumlia na atakupigania ili auwin moyo wko
Sasa jfanye kiherehere utajuta maana uyo manzi unaonekana unampenda
Kuna vitabu vitamu[emoji3]Mkuu kitabu ulichokisoma unakirudia tena?
Kabisa mkuu.Kuna vitabu vitamu[emoji3]
Fara Sana wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kuna mbususu ukikutana nayo hutoiacha kamweKabisa mkuu...mm Kuna kitabu nimesoma zaidi ya mara tano...kila nikikiweka kabatini mwaka hauishi nakikumbuka nasoma tena...yaani mpaka kitabu chenyewe kimeshasema kimeshindwa nacho kutulia kabatini...Kuna vitabu vitamu bwana....acha kabisa..
Fara Sana wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kuna mbususu ukikutana nayo hutoiacha