Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

Govvi pill
 
Attachments

  • Screenshot_20221208_153049.jpg
    Screenshot_20221208_153049.jpg
    83.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221208_153138.jpg
    Screenshot_20221208_153138.jpg
    83.9 KB · Views: 6

Acheni wizi,internal combustion engine,imeisha dizainiwa ile mafuta kiasi Fulani,kwa speed Fulani,katika joto Fulani la upepo,maji,pressure,wewe Unasema Kuna kidonge Cha kupunguza matumizi!acha wizi,miafrika mnajua uchawi tu.
Engine za kisasa zinatumia ECU,engine control unit,hiki kifaa kinaamua kiasi Cha mafuta ya kwenda kwenye injini kwa kuangalia signal za sensor mbali mbali,water temperature,air pressure,air temp, accelerator position,sasa Hilo likidonge lako,linaleta signal gani kwenye ECU?weka ushahidi wa kitaalam,sio kutuambia "kimetumika sana huko nje"usilete mambo ya Mwamposa hapa ya maji na chumvi za kulamba
 
Vipo, lakini usijaribie kwa gari yako....
 
Wajinga hawaishagi mkuu kila siku wanazaliwa wajinga wengine na ukijanjaruka wewe jua kuna wajinga wengine kibao wanaingia mjini. Usishangae kuona mtu leo hii anatapeliwa na mbinu za miaka ya 1990 ni kawaida sana. Na hata ikifika 2050 bado kuna watu watatapeliwa na Qnet, Forever, D9, Deci, .....Dunia ni duara
 
Acheni wizi,internal combustion engine,imeisha dizainiwa ile mafuta kiasi Fulani,kwa speed Fulani,katika joto Fulani la upepo,maji,pressure,wewe Unasema Kuna kidonge Cha kupunguza matumizi!acha wizi,miafrika mnajua uchawi tu.
Engine za kisasa zinatumia ECU,engine control unit,hiki kifaa kinaamua kiasi Cha mafuta ya kwenda kwenye injini kwa kuangalia signal za sensor mbali mbali,water temperature,air pressure,air temp, accelerator position,sasa Hilo likidonge lako,linaleta signal gani kwenye ECU?weka ushahidi wa kitaalam,sio kutuambia "kimetumika sana huko nje"usilete mambo ya Mwamposa hapa ya maji na chumvi za kulamba
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
ukiona biashara inatangazwa haiwekwi bei wala maelezo ya kutosha na usisitizwa uwafuate inbox au whatsapp kuwa makini.
 
Atapigwa Mtu Na Kitu Kizoto Mpaka Anye
Chukueni Tahadhali, Baadaye Kilio Machozi Yakiisha Yatatoka Makamasi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wewe ndio fursa.Haina adress ya kampuni ina Youtube channel.Unatakiwa u recruit wanunuaji(pyramid scheme).
Kuweni macho when something is too good to be true there is a big chance that it is not. Beware.
 
Mwisho wake mtasema gari ikiharibika unaipa kidonge inapona.
 
Back
Top Bottom