Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo, lakini usijaribie kwa gari yako....Acheni wizi,internal combustion engine,imeisha dizainiwa ile mafuta kiasi Fulani,kwa speed Fulani,katika joto Fulani la upepo,maji,pressure,wewe Unasema Kuna kidonge Cha kupunguza matumizi!acha wizi,miafrika mnajua uchawi tu.
Engine za kisasa zinatumia ECU,engine control unit,hiki kifaa kinaamua kiasi Cha mafuta ya kwenda kwenye injini kwa kuangalia signal za sensor mbali mbali,water temperature,air pressure,air temp, accelerator position,sasa Hilo likidonge lako,linaleta signal gani kwenye ECU?weka ushahidi wa kitaalam,sio kutuambia "kimetumika sana huko nje"usilete mambo ya Mwamposa hapa ya maji na chumvi za kulamba
[emoji16][emoji16][emoji16]Acheni wizi,internal combustion engine,imeisha dizainiwa ile mafuta kiasi Fulani,kwa speed Fulani,katika joto Fulani la upepo,maji,pressure,wewe Unasema Kuna kidonge Cha kupunguza matumizi!acha wizi,miafrika mnajua uchawi tu.
Engine za kisasa zinatumia ECU,engine control unit,hiki kifaa kinaamua kiasi Cha mafuta ya kwenda kwenye injini kwa kuangalia signal za sensor mbali mbali,water temperature,air pressure,air temp, accelerator position,sasa Hilo likidonge lako,linaleta signal gani kwenye ECU?weka ushahidi wa kitaalam,sio kutuambia "kimetumika sana huko nje"usilete mambo ya Mwamposa hapa ya maji na chumvi za kulamba
Kuna mtu atalizwa 🔜Jiunge kwenye group letu na upate maelekezo yote kutoka kwa dada apo.
wisdomganga.com
Tuachane na mechanism ya ufanyaji kazi wake. Nataka kujua, why wamekiita Govvi?