Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
MKUU SHULE GANI?
Unataka kucheka sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU SHULE GANI?
HAHAHAUnataka kucheka sana?
HAHAHA
Eeeeh!!! naomba ajira mkuu.Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake
Yah alihamia ila mtwara ni kwao kabisa pale... licha ya wazazi wake kuwa kikazi.. kazaliwa pale na hata primary kapiga huko mtwara... mbeya kaenda baada ya kumaliza o level...Hapo mtwara alihamia,ila mbeya day alikuwa mhuni kinoma, huko mtwara nahisi alitulia kidogo
Kama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
Umaarufu hautafutwi
HUYO DEMU SI NDIYO YULE WA KISURA AU NAKOSEA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huu uzi tutajua umri wa wana JF wengi hata kama sura zao hatuzioni-itatusaidia kujua una argue na mtu mwenye umri gani?