Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Yah mshikaji ni mwana sana.Nipo nae Ukonga na mwaka huu ataoa.Jamaa nlisoma nae seminary St. Peter's, Moro. Alikua kaka mkuu wetu, ni mwana sana. Nakumbuka katokea parokia ya ukonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah mshikaji ni mwana sana.Nipo nae Ukonga na mwaka huu ataoa.Jamaa nlisoma nae seminary St. Peter's, Moro. Alikua kaka mkuu wetu, ni mwana sana. Nakumbuka katokea parokia ya ukonga
Mtangazaji/Msambaza taarifa wa rafiki/schoolmates zake umaarufu wao.Mkuu wenzio wote hao maarufu na ni wafanyabiashara
What about wewe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu sijawahi cheza mpira nikiwa uhuruNmesoma na King Kiba Uhuru..
Na soccer [emoji460]️ tumepiga nae.. akavunja goli na mashuti ake ya mguu wa kushoto..!
Fadhili mzee wa yamaha 50Mwalimu Saidi Ali yupo wapi? na mwalimu Fadhili mpiga picha maarufu sana sabasaba sec chama kubwa[emoji16][emoji16] shule inayoongoza kutoa Jamaa wa Kijitonyama geti jeusi..
Mdau ulimaliza mwaka gani mimi ni miongoni mwa zao la pale ukuta mneneFadhili nanyati alikua mitengo sekondari baadae akahaimishiwa msimbati kama mkuu wa shule alikua anajenga maeneo ya kiango kajumba katamuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!usiniulize nimejuaje!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama majaliwa mtaalamu wa lugha ya kiswahili[emoji3][emoji3][emoji3]We used to call him Marc Fad[emoji3] one of the best Physics teacher at 77 na mtaalam wa picha mnato[emoji16] bila shaka we ni mate wangu kabisa wewe aidha class au school....Msalimie Mama Meja kama bado yuko hai...ukimuona mama Nanauka pia mwambie mwanafunzi wako wa Hist Chinga One wa jf anakusalimu[emoji41]
Mama yake sugu ni ukoo wa mzee lungu kule mdenga namadi kama sikoseiYah alihamia ila mtwara ni kwao kabisa pale... licha ya wazazi wake kuwa kikazi.. kazaliwa pale na hata primary kapiga huko mtwara... mbeya kaenda baada ya kumaliza o level...
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu we ngolilo wewe si yule jamaa mfupi wa vituko vituko mluka ukuta maarufu wa upande wa tamofa kule [emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yah alihamia ila mtwara ni kwao kabisa pale... licha ya wazazi wake kuwa kikazi.. kazaliwa pale na hata primary kapiga huko mtwara... mbeya kaenda baada ya kumaliza o level...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasoma mtwara ila nilishawahi Fanya kaziMdau ulimaliza mwaka gani mimi ni miongoni mwa zao la pale ukuta mnene
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee lungu yupi?wale wa kule mdenga?!!!nyumba yao ya mwisho kabisaa?Mama yake sugu ni ukoo wa mzee lungu kule mdenga namadi kama sikosei
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaMi nilisoma madrasa moja na marehem sultan said seyyid kule muscat
Sent using Jamii Forums mobile app