Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Mzamiru Yassin na Juma Luzio wamesoma na mimi kilosa boys morogoro(me sijasomanao).
Mzamiru alikua f3 Juma f4. Ila Mzamiru hakumalizia pale akahamia moro town.
Baada yakuhama ukapta mwezi mmoja likaja gazeti shuleni likiwa na picha ya Mzamiru akimlamba mtu chenga kwenye airtel rising star.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu Saidi Ali yupo wapi? na mwalimu Fadhili mpiga picha maarufu sana sabasaba sec chama kubwa[emoji16][emoji16] shule inayoongoza kutoa Jamaa wa Kijitonyama geti jeusi..
Fadhili mzee wa yamaha 50
Ila yule mshenzi aliniharibi msingi wangu wa physics kabisa maajinuni yule ila poa maisha yanasonga
Wapi nyengedi na mama neema[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We used to call him Marc Fad[emoji3] one of the best Physics teacher at 77 na mtaalam wa picha mnato[emoji16] bila shaka we ni mate wangu kabisa wewe aidha class au school....Msalimie Mama Meja kama bado yuko hai...ukimuona mama Nanauka pia mwambie mwanafunzi wako wa Hist Chinga One wa jf anakusalimu[emoji41]
Mama majaliwa mtaalamu wa lugha ya kiswahili[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah alihamia ila mtwara ni kwao kabisa pale... licha ya wazazi wake kuwa kikazi.. kazaliwa pale na hata primary kapiga huko mtwara... mbeya kaenda baada ya kumaliza o level...

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu we ngolilo wewe si yule jamaa mfupi wa vituko vituko mluka ukuta maarufu wa upande wa tamofa kule [emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom