Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

nakumbuka skul kulikuwa na kidaraja kwenye barabara inayotenganisha mabweni ya boys na gals, hapo kwenye kidaraja kulikuwa kunafahamika kwa jina la "KANIITIENI" basi hapo ndo sehemu ya makutano, kama boy anamuhitaji gal anakaa hapo utaskia "samahani dada kaniitie nanii" the same applies to gal, na hapo kaniitieni ukipita mida ya night utakuta pipo zimesimamisha minazi hataree, afu kitu ZERO DISTANCE utasema kasimama mtu mmoja kumbe wawili.. CHEZEA BARIDI YA IRINGA WEWE... full MINAZI
 
Haya mkuu ASH Tupia vituko vya mzumbe sec

mzumbe ilikuwa kwenda changarawe kwenye vigodoro(disco vumbi)hapo nikiwa nimeongozana na frank...ilkuwa burudani sana cku ya ijumaa watu tunaenda mzumbe universty kuangalia uumbaji wa mungu.(kuangalia madada wa chuo) ukirud shuleni mwepesi unakimbilia bafuni na.sabuni yako maisha yanaenda
 
Nakumbuka ukitoka chooni lazima uende uwanjani ukapunge hewa kitu ilikuwa inatema ile mbaya,ila mpango mzima ilikuwa kuweka bond warsaw ili siku ya Disco usiuze.
 
dah pugu noma ukiona mtu amelala chali katanua miguu jua tayari pumbu zimevamiwa.
 
Special diet haswa ukiandikiwa E.D lakini makiranja ya bwalo yalikuwa magumu kukubali.
 
Maharage yenye mafuta ya taa... sijui siku izi yapo?? Eti lengo lilikua kutupunguzia nyege....
 
Nakumbuka ukitoka chooni lazima uende uwanjani ukapunge hewa kitu ilikuwa inatema ile mbaya,ila mpango mzima ilikuwa kuweka bond warsaw ili siku ya Disco usiuze.

duh vyoo vya tabora hvyo mkuu...
 
vijana wa precious precious ..... an honoured special school!!......mpo!!!....enzi za kashindye alituharibia prac yetu ya chemistry yule mwehu......bt wanaume tukapiga ndefu vilevile...long live Anderson,Urio,Nchimbi,Baradyana and likungwala
 
siku moja nimeamuka nimenyolewa baadhi ya nywele kichwani
 

minaz gan tena ash?ucje ku2zuga ni ile ya pemba na unguja!!
 
Nakumbuka ukitoka chooni lazima uende uwanjani ukapunge hewa kitu ilikuwa inatema ile mbaya,ila mpango mzima ilikuwa kuweka bond warsaw ili siku ya Disco usiuze.

duu a level hyo,ukienda toi lazma uvue ubakze pchu2 kwa kulnda heshma yako,vngnezo mwili unageuka choo gafla!
 
Wakuu naomba tukumbushane vituko,mikasa,na mambo mbalimbali uliyokumbana nayo wakati unasoma shule ya sekondari ya bweni(boarding),

nakumbuka shida ya maji eneo la shule iliwafanya wengi wahifadh maj ya akiba ila kutokana na uvivu wangu nikawa nachelewa kuamka ili niibe maji...weny maji wakirud jion full vijembe na matusi na mimi nakua mchangiaj mkuu wa mada nikiona wamezidi ukali huyoo nahama chumba
*ila sitasahau siku nliiba maji ya kunywa kumbe ndan ya yale maji kulikua na soks na chupi yan daah.achen tu boarding life is very interestng...
 

hako katabia ka kuweka chup kwenye maji kalikuwepo sana tu!
 
hako katabia ka kuweka chup kwenye maji kalikuwepo sana tu!

acha tu unakuja kushtuka umeshakunywa maji inabidi tu kunyamaza manake ukiongea tu lazima kuwekwa mtu kat....
 
nakumbuka nilibeba kufuli kutoka home la kufungia ndara,nakumbuka siku moja nilikua nafua weekend basi nilikua naanika tomato langu narudi kuchukua trouza kugeuka wameiba lile shati,yaani nilichoka,hata sekunde 10 hazijafika,then wajinga flani walikua wanakuja na jiki yaani hata shati ulipige chata vipi wataiba tu,..ST MATTHEW'S hio,
 
...dah!...mimi nakumbuka matumizi ya milango9 mara baada ya maji kukata kwa muda mreefu~bila kusahau shadufu/songeab'z\
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…