Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
nakumbuka skul kulikuwa na kidaraja kwenye barabara inayotenganisha mabweni ya boys na gals, hapo kwenye kidaraja kulikuwa kunafahamika kwa jina la "KANIITIENI" basi hapo ndo sehemu ya makutano, kama boy anamuhitaji gal anakaa hapo utaskia "samahani dada kaniitie nanii" the same applies to gal, na hapo kaniitieni ukipita mida ya night utakuta pipo zimesimamisha minazi hataree, afu kitu ZERO DISTANCE utasema kasimama mtu mmoja kumbe wawili.. CHEZEA BARIDI YA IRINGA WEWE... full MINAZI