Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
- Thread starter
- #101
duh vyoo vya tabora hvyo mkuu...
Mkuu ASH ,Kuna siku nilitoroka kabla ya break ya saatano nikaenda kariako kupasha ile narudi tu nakaribia ule uwanja wa mpira ghafla mr.kapala kanikamata dah nilikula bakora pale balaa ,,kuna ticha pale taboraboys walikuwa wanamuita manywele sasa form1 kaja shule anasikia wanafunzi mabwenini na vyembani wakimuita hilo jina sasa dogo katumwa ofisini kwa yule mwalimu akamwambia mwalimu manywele unaitwa ofisini yule mwalimu alichukia balaa