Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

duh vyoo vya tabora hvyo mkuu...

Mkuu ASH ,Kuna siku nilitoroka kabla ya break ya saatano nikaenda kariako kupasha ile narudi tu nakaribia ule uwanja wa mpira ghafla mr.kapala kanikamata dah nilikula bakora pale balaa ,,kuna ticha pale taboraboys walikuwa wanamuita manywele sasa form1 kaja shule anasikia wanafunzi mabwenini na vyembani wakimuita hilo jina sasa dogo katumwa ofisini kwa yule mwalimu akamwambia mwalimu manywele unaitwa ofisini yule mwalimu alichukia balaa
 
Nimesoma ndanda kwa miezi kadhaa kikubwa ambacho sitakisahau nikiwa pale ni ngoma fulani hivi ambayo huchezwa na wanafunzi wa pale ambayo huitwa lizangati
 
nakumbuka kuweka kiporo,yani unakuta pilau mlikula jumapili,jumatano jioni unakuta njemba anaipiga..
Sasa kuna wadada walikua wanajifanya wanaponda sana swala lakuweka viporo,sikumoja mda wa chai saa 4 tukaenda chai tukarudi darasani tukawa tunafanya discussion,katika discussion mdada mmoja akawa anachangia kumbe kwenye jino la mbele kuna ganda la harage,watu tukaanza kucheka mdada haelewi nini kinaendelea,alipogundua alitamani ardhi ipasuke..!
 
ucpime,mi nakumbuka wana walikua wakiiba mpk boxer. kuna cku nimeifua na kuanika but mda wa kwenda kuanua sikuikuta after two weeks nikaikuta kwa mshikaji mmoja hv kaitupia aisee, for sure ckuamin
 
hahahaaa,sinikumbushe wangu,mm mwenyewe waliniibia,na kugongea sabuni ya kuogea kwa sana tu
 
Wakuu naomba tukumbushane vituko,mikasa,na mambo mbalimbali uliyokumbana nayo wakati unasoma shule ya sekondari ya bweni(boarding),

Aaah boarding weee, kisa ambacho sitakisahau; shule yetu ilikuwa boys and girls, kukazuka ka tabia ka watu kukandamizana porini. Kama kawaida ya mazoea wakaona porini mbali wengine wakaanza kukandamiza nyuma ya madarasa, wengine wakagundua mbinu mbadala na kuanza kulala kwenye stoo ya vyakula na majembe. Shule yetu ilisifika sana kwa kilimo, siku za kilimo tuliamka saa kumi alfajiri kwenda shamba, njia ya kupita ilikuwa ni pori. Hapo ndiyo historia ikamwangukia jamaa mmoja alikuwa kiranja wa kilimo, kaamuka wakaahidiana na demu wake wakandamizane kabla ya safari ya kwenda huko. Kumbe kuna mtu aliwaona akamwambia mwalimu akawadabua, hisitoria ya suspension ikaanzia hapo.

Mlengwa kwa kiume akaenda kwa ndugu zake wa karibu kukaa huko akisubiri kurudishwa shule. Kitu alichokifana akaandika barua kwa baba yake ya kukubali kosa, nyingine akaandika shule kuomba msamaha arudishwe though hakukubali kosa. Makosa ya kiufundi, akatuma ile barua ya kukubali kosa shule, ile ya shule ikaenda kwa baba yake.

Mwalimu mkuu alikuwa considerate; alichokifanya akawarudisha na kuwatangaza assembly akasoma barua ya jamaa aliyoandika kwa baba yake kukubali kasa basi akawasamehe, there was no way!!!
 
duuh,siku ya kufa nyani miti yote huteleza..jamaa alifanya cross multiplication,
 
Mie nakumbuka mambo manne
  • Nilikua mzee wa kuwahi top layer hasa shule moja pale Tabora noma, yaani msosi ulikua unawekwa wese la hatari mchuzi mwekunduu, nilikua nina kopo moja la mafuta ya KIMBO nikitupia humo mchuzi ule wa jujuu juu nikiumaliza lazima koo liwashe
  • Nakumbuka pia nilivyokua natoroka skuli usiku kwenda disko vumbi kitaa daily, yaani tukikutana mchana huwezi jua kama ni mimi aisee, ila napiga msuli ikifika saa 4 tu huyoo naenda kubambia vitoto vya uswazi bila kusahau kuangalia movie zetu zile za kikubwa enzi izo kiingilio SHILING MIA
  • O'level nakumbuka nilikua mtu wa msuli sana nimefuga muembe huo hatari yaani kama msukule, second master alikua na kigugumizi yaani akija assemble ni kunizungumzia tu mimi na minywele yangu. Ila nilikua muoga wa mademu balaa, nilivyofika advance niaanza vimichezo vya hapa na pale si nikapata demu kitaa. Nilikua na jamaa yangu mmoja wa PBC(kwa sasa ni muheshimiwa mmoja mkubwa sana na daktari mzuri sana pale MUHIMBILI) alikua mgumu kinoma ila alikua mpenda mademu hajui kutongoza, siku moja tukaenda kwa mganga mitaa fulani nyuma ya shule uswazi kutafuta kizizi cha kuwanasa watoto, Tukapigwa changa la macho na madem hatukupata..Ikabidi tuanze kuzunguka kitaa usiku kununua wale wanaojipanga mitaani..aisee yaani maisha ya shule noma sana
  • Nakumbuka pia siku ya kwanza kuingia disko la shule nilikua nimevaa suruali ya kitambaa(jeans style enzi hizo) bila nguo yoyote ndani, Ile kucheza cheza videmu vizuri vizuri vikawa vinazingua bana. Bahati nzuri kuna demu mmoja mbaya mbaya hafu mnenee watu walikua wanamkimbia alikua kaegemea nguzo, nikaon huyu huyu. Nilimbambia aisee kwa hasira zoote nikasahau huku ndani sina hata pichu, mambo si yakaharibika, bahati nzuri kumbe na yeye alikua na stimu zake tu siku nyingi akawa katulia kama hana habari yaani watu walio kuwa pembeni walikua wanacheka kinoma mie sina habari,Tokea siku hiyo hakuna disko nilokosa aiseee ha ha ha

ulisoma Milambo wewe!!!
 
Wakuu ila zile shule za WATOTO MCHELEMCHELE kama feza boys,mariangals,fezagals,loyola,n.k huko naona hakukuwa na vitimbi na vituko
 
Mimi nakumbuka tulikua tunamashindano ya kupiga nyeto kila siku jioni mshindi atakaye wahi kukitupa anachangiwa sh.500 cha ajabu bingwa wetu alikua yule yule kila siku mpaka tukampa jina la .........nyeto. Kingine shuleni kulikua na uhaba wa maji na vyoo vilikua vya kuflash sasa mara nyingi tulikua tunaenda kujisaidia kwenye msitu mmoja tulikua tunauita California sasa mm nikawa naona uvivu nikavumbua chaka langu mzee mzima nikibanwa napanda juu ya ceilingboard namaliza yangu ilikua hatari harufu huko juu.
 
kweli ulikuwa mjinga tokea kitambo.......
 
st.james seminary,maua seminary,st.peters seminary,uru seminary,don bosko seminary,mafinga seminary,st.joseph kilocha seminary,visiga seminary,kasita seminary,kifungilo,marian boyz n'girls,mzinde,st.francis,feza boyz n.k. Muda huu sisi tulikuwa tukipitia past papers,tunafanya discussion za masomo na debates na kwakweli tulideserve kuwakimbiza form four hata form siix kwa sababu ya huo upuuzi mlikuwa mkifanya...kumbe tatizo si walimu ila wanafunzi wenyewe...
 
timbwili timbwili hzo zote za maskuli hazikua kizuiz cha wa2 kunyonga tilio,mbungi clas lilikua linamwagwa c mchezo pia na bdo wa2 2linyonga vijiti level zote!
 
Back
Top Bottom