Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

bifu baina na shule na shule hasa kwenye mpira yan lazma m2 atoke dam kwa kupgwa na slesha au mpin wa jembe. saa nyingne alikua anakufa m2. kama ulisoma lYAMUNGO na UMBWE unaelewa naongea nn.
 
Sisi tulikua na kitu inaitwa Daily Routine..! Inaboa sana hii

kwetu ilikuwepo iyo kitu but ilikuwa haifuatwi, ila kuna ticha huyo akiingia zamu lazma mfuate daily routine hadi anaboa na wanafunz wakampa jina daily routine, hadi namaliza four sikubahatika kujua jina lake halisi
 
mwanafunzi hafi,hata akifa haozi,hata akioza hanuki,hata akinuka ananukia marashi.

Huo ndo ulikua msemo wa kujipa moyo kabla hujala bila kunawa na wakati huo kipindupindu kilikua kinatisha.

nakumbuka boys walikuwa na tabia ya kunawa kwa kutumia tonge la ugali, mtu anafinyanga tonge la kwanza then analitupa! ndo kashanawa hapo! then msosi unakandamizwa kama kawa
 
bifu baina na shule na shule hasa kwenye mpira yan lazma m2 atoke dam kwa kupgwa na slesha au mpin wa jembe. saa nyingne alikua anakufa m2. kama ulisoma lYAMUNGO na UMBWE unaelewa naongea nn.
kwahiyo mkawa mnaona ndo ujanja ama kweli ishi Tanzania huone maajabu....napenda ungekufa ww wakati huo
 
mwanafunzi hafi,hata akifa haozi,hata akioza hanuki,hata akinuka ananukia marashi.

Huo ndo ulikua msemo wa kujipa moyo kabla hujala bila kunawa na wakati huo kipindupindu kilikua kinatisha.
Sisi tulikuwa tunasema wanafunzi hawaugui hata akila maharage ya baridi na bila kunawa....
 
huna lolote wewe muongo mkubwa,seminary gani hio?kama mlifunzwa discpline mbona kila siku unapigwa ban kwa matusi yako,tambaa zako acha kuongopa

nilijua utaongea..hivi na ww ulipita vipaji maalumu...nilikuwa visiga seminary aisee 2007(form four)...ebu kashangae mwenyewe huone Mungu alivo waajabu kwa watu wenye maadili mema
 
Primary Manyara Ranch kulikuwa na vibwengo..enzi hizo tulikuwa tunaita MANANAU.....
Ukipita ile shule huna sababu ya kwenda JKT....
 
Tabora boys..nakumbuka tuliwahi sepa na diaba zima la maandazi tukalitelekeza uwanja wa mpira nyt kali..asubh akina mama mwita wa kantini walikubali wenywe wanafunzi sio watu...
 
Tabora boys..nakumbuka tuliwahi sepa na diaba zima la maandazi tukalitelekeza uwanja wa mpira nyt kali..asubh akina mama mwita wa kantini walikubali wenywe wanafunzi sio watu...

Hahahaha mkuu mwaka gani hiyo
 
nilijua utaongea..hivi na ww ulipita vipaji maalumu...nilikuwa visiga seminary aisee 2007(form four)...ebu kashangae mwenyewe huone Mungu alivo waajabu kwa watu wenye maadili mema

Lakini mkuu nasikia huwa mnapata pepa?
 
Back
Top Bottom