Raby Kilua
Senior Member
- Jul 12, 2013
- 128
- 23
Sisi tulikua na kitu inaitwa Daily Routine..! Inaboa sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tulikua na kitu inaitwa Daily Routine..! Inaboa sana hii
mwanafunzi hafi,hata akifa haozi,hata akioza hanuki,hata akinuka ananukia marashi.
Huo ndo ulikua msemo wa kujipa moyo kabla hujala bila kunawa na wakati huo kipindupindu kilikua kinatisha.
kwahiyo mkawa mnaona ndo ujanja ama kweli ishi Tanzania huone maajabu....napenda ungekufa ww wakati huobifu baina na shule na shule hasa kwenye mpira yan lazma m2 atoke dam kwa kupgwa na slesha au mpin wa jembe. saa nyingne alikua anakufa m2. kama ulisoma lYAMUNGO na UMBWE unaelewa naongea nn.
Sisi tulikuwa tunasema wanafunzi hawaugui hata akila maharage ya baridi na bila kunawa....mwanafunzi hafi,hata akifa haozi,hata akioza hanuki,hata akinuka ananukia marashi.
Huo ndo ulikua msemo wa kujipa moyo kabla hujala bila kunawa na wakati huo kipindupindu kilikua kinatisha.
huna lolote wewe muongo mkubwa,seminary gani hio?kama mlifunzwa discpline mbona kila siku unapigwa ban kwa matusi yako,tambaa zako acha kuongopa
Nakumbuka skuli kwetu umeme ukikatika mida ya night utasikia watu wakipiga kelele NO GAP EMERGED
Tabora boys..nakumbuka tuliwahi sepa na diaba zima la maandazi tukalitelekeza uwanja wa mpira nyt kali..asubh akina mama mwita wa kantini walikubali wenywe wanafunzi sio watu...
nilijua utaongea..hivi na ww ulipita vipaji maalumu...nilikuwa visiga seminary aisee 2007(form four)...ebu kashangae mwenyewe huone Mungu alivo waajabu kwa watu wenye maadili mema
pumbu erotion
wewe unaongea uliyosikia sasa mimi nakuambia ninachojua na nilichoishi....we endelea kuckia..Lakini mkuu nasikia huwa mnapata pepa?