Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hii ni kampuni au?
Halafu Kuna chimbo lipo mbeya linaitwa matema Beach nalitamani
Juzi kati nilikuwa Melia serengeti anhaaa lile chimbo balaa si mchezo
Japo me sipendi tour za mbugani ila hapo nakushauri nenda
Sifahamu hiyo matema beach..

Ila Melia serengeti hivi karibu(Jan) na nimeona mtandaoni iko safi kabisa.

Tour za mbugani napendelea kwa baadhi ya activities.

Yes ni kampuni,utapata discount ukichukua go and return ila make sure "Mr right" yuko pembeni ili ufurahie zaidi🀣,utafanya vitu vingi zaidi vyenye kuvutia na kukonga nyoyo hadi unafika na unaweza ukaomba some pictures za kijana wa kambarage aliyewahi/kuwa ana osha vyombo...🀣 ukamuona na majina yake .
 
Tumekusamehe mwaya
Mungu mwenyewe alishasamehe❀️,Sisi ni nani hadi tukatae?
Kosa si kosa bali kurudia kosa,,ninaamini kwa meseji hii wote uliowakosea wamekusamehe,,na wewe usamehe pia.

Ni heri umekuja na kusema wazi,kuliko ungeendelea kukaa kimya huku nyuma kukiwa na taharuki.

Ukweli humuweka mtu huru,Umechagua fungu jema na kwa namna yoyote usijisikie hatia..
Wote sisi ni wakosaji na hakuna aliyemkamilifu.


Tuendelee kuenjoy na kusubiria kupokea mwaka mpya,tuanze na mambo mapya..ya kale yote yamepita.
 
Una uhakika gani ni yeye??
 
Hii selfika2 inakoelekea sikoo ngoja mimi nikae pembeni niangalie Hii muvi πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡
 
Thank you , its one of my biggest lesson in life
we learn through mistakes and an opportunity to grow as an individual .
 

Miss ya T
 
Mi mwenyewe nimedoubt sema lemme mind my ownfckng bizneeπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸ™‡!
Jambo alilofanya kuomba msamaha ni zuri sana. Ila litakuwa na maana kama akiomba kwa id yake inayojulikana.

Mtu yoyote anaejua kilichotokea anaweza kuja na id mpya na kutaja jina lake.
 
Well kama mtu haamini its okay , I've played my part .
Ila irudishe tu id yako..Be free..yaliyotokea yameshapita.
Usiogope,hakuna aliye msafi.

Maadamu umeomba msamaha basi wewe kwa upande wako umemaliza,hudaiwi...
Atakayekusamehe ni heri,atakayegoma kuachilia basi atajua yeye na Mungu wake.


Nafurahi umerudi tu na kuweka mambo sawa,na ndicho watu walichokuwa wakitegemea ufanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…