Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Ah mimi siwezi kwa kweli
waache waendelee tu
Haya ni maisha tu
 
Kungwi
 
Sihitaji ID ya TINSLEY , nimekoma yani kutumia JF .
SINA HAMU NAYO
Ngoja ninyamaze tu maana kuna vitu nikiuliza hapa utaona nakushambulia.

Ok. Umefanya vizuri kujua ulipojikwaa na sio ulipodondokea. Nakushauri tu kama ni wewe kweli anza kuhifadhi mambo yako kifuani, not everyone lazima ajue eti kwa vile mko karibu.

Ulitumiwa kwenye vita usiyokuhusu. Stay safe✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…