Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wewe na myself wako mnazingua 😆 unayumbishwa na JF? Huku ukilog out km ulikuwa huna sukari, si inabaki vile vile huna sukari?

Ama ndo mtu mzima akivuliwa nguo uchutama? Chutama yako ndo imeamua ukae mbali na JF?

Wakomeshe watesi wako kwa kurudi na kuwa happier just like nothing happened wewe binti. Looh
Ah mimi siwezi kwa kweli
waache waendelee tu
Haya ni maisha tu
 
Wewe na myself wako mnazingua 😆 unayumbishwa na JF? Huku ukilog out km ulikuwa huna sukari, si inabaki vile vile huna sukari?

Ama ndo mtu mzima akivuliwa nguo uchutama? Chutama yako ndo imeamua ukae mbali na JF?

Wakomeshe watesi wako kwa kurudi na kuwa happier just like nothing happened wewe binti. Looh
Kungwi
 
Sihitaji ID ya TINSLEY , nimekoma yani kutumia JF .
SINA HAMU NAYO
Ngoja ninyamaze tu maana kuna vitu nikiuliza hapa utaona nakushambulia.

Ok. Umefanya vizuri kujua ulipojikwaa na sio ulipodondokea. Nakushauri tu kama ni wewe kweli anza kuhifadhi mambo yako kifuani, not everyone lazima ajue eti kwa vile mko karibu.

Ulitumiwa kwenye vita usiyokuhusu. Stay safe✌️
 
Back
Top Bottom