Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hongera sana Mkuu,Kazi yako ni njema.

Bwana na akaachilie kibali katika ratiba na mipango yako,kwa utukufu jina lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeziloweka kwanza thn spices ukaweka zikiwa dry[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nilishasahau kwanza kama inakuwaga na chumvi na pilipili
Mie nikaweka chumvi yangu
Baadaye ndio nikakumbuka.

Nikaona isiwe kesi,nyunyiza pilipili kwa juu.

Btw nilitaka kujikumbusha tu maisha yangu baada ya bumu kukata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa mtaalam sana wa hizi kitu..sema Ina njaa hatari...2hrs hutoboi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mie hadi leo still ni mlo wangu pendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…