[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7][emoji7] Nianze kujibu pm zako sasa, huu ndio ugonjwa wangu.!!
Kumbe Manyanza ni muenchamu na husemi?? Awwww [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Tall, dark, handsome na hii nyingine slim ndio yenyewe kabisaa.!!
Pm zako nazijibu [emoji1787]
Nilikuwa na cazee wangu leo basi kanizurulisha mpk niko hoi 😂Ulipitwaa wapii na wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu Manyanza kanichanganya 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakuzuririshaa wapiii weyeee!! PoleeeeNilikuwa na cazee wangu leo basi kanizurulisha mpk niko hoi [emoji23]
Utakua wizoo angu kwakee, unajua ni mlongo huyoo!!Uduguu Manyanza kanichanganya [emoji81][emoji81][emoji81]
Siku zote niko mpweke kumbe kuna kijana wa moto hivi na nadengua kujibu pm zake, na wewe udugu wangu hata husemi?? Sijapentraaa [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Maeneo flan hivi yamepoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakuzuririshaa wapiii weyeee!! Poleeee
Mngoni?? Mamaah!! 😹😹😹Utakua wizoo angu kwakee, unajua ni mlongo huyoo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Awww 🥰🥰🥰[emoji445]
Kuna muda mi nashindwaa aaah,
kufanya vitu vingi kwako natamani kutimizaa
Ila moyoo, unajua jinsi gani unavotaka kwenda sawa nawee ×2
Na usione km navunja yako heshima, every thing, I think about u babee
Na usione nadharau 7bu ya jina, every thing, I think about u babeee
Aaah Aaah nikipata, umepata babee tunakwenda JUU!!
[emoji445]
[emoji3590][emoji178][emoji179][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 3042568
Watu weweeeeeee!!! Kutokaa uduguu had wizooooo!!!Mngoni?? Mamaah!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Ndiomana muongo muongo sound nyingi.!!
Basi huyo ananifaa wangoni nyie watundu watundu sana.!!!
Uduguu huu upambee umeanza linii?Awww [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Shemeji yangu ba tamu yuko vyedi
Kapouwaaaaa.!!
Uduguu umeweza, umeweza, umeweza tena.!!
Peke yako JF unamiliki mwanaume mwenye vigezo vya tbs
😹😹😹😹 Hatareee sana.!!Watu weweeeeeee!!! Kutokaa uduguu had wizooooo!!!
Wao hawaogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuja kumuungisha asijali shem lake.Uduguu huu upambee umeanza linii?
Ba tamu akiwa Golini kwake. Amepoaa mwenyewee.
Ujee umuungishe [emoji158]na sandals ukampee ba tamuu wakoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupia mzee ukiwa na LabellaManyaza naona umewaka Safi.
Kuna siku nimeenda palee nimewakuta vijana wamekaa, nisianze kuzuga kuchagua sandals, had m1 anasema wee kiumbe acha uchawi unachagua mda wote huo huoni?Ntakuja kumuungisha asijali shem lake.
Manyanza kachague kiatu nikulipie ile midundo yako ya tandale sijaielewa [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viatu vyake vikojeee?? Ushaanza ukorofii wizooo akee.[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Hatareee sana.!!
Mbona nyumba itakuwa na hekaheka mwaka mzima.!!
Sema kaka yako viatu vyake sivielewi aiseee!!
🤣🤣🤣 wivu huoKuna siku nimeenda palee nimewakuta vijana wamekaa, nisianze kuzuga kuchagua sandals, had m1 anasema wee kiumbe acha uchawi unachagua mda wote huo huoni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitoka na aibuu, afu nilichukiaa hatareee. Sipendi sehemu ya kupata huduma watu, afu wakae watu wengine km kijiwe.
Iwe dukani, saluni etc naborekaa mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Skecher na crocs nimeziona km za muuza uduvi 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viatu vyake vikojeee?? Ushaanza ukorofii wizooo akee.
Naona umewahamishia wote huku😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijiji kinasepa na mie, yaani ni [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akhiii ile siku niliumbukaaa, kwanza mie nikiona sehemu wamejaa wakaka wengi sipiti au sisogeii hapoo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wivu huo
Ila kiukweli hata mimi sipendi mtu kuweka kijiwe cha story sehemu ya kazi.
Inafanya wateja wasiingie, halafu mteja akichagua bidhaa hata halisapoti kumshawishi liko busy kukuuliza ujinga.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila cantrii nimechekaa sana ujue, sema nn vibe inabamba hapaa.Naona umewahamishia wote huku[emoji23]
Huku napo ukipigwa ban, unawapeleka kwingine. Kweli jf ipo kiganjani mwako[emoji23]