Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jando LA foleni? Au la mafungu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ La mstari
Kuna clip niliona sijui watu wa wapi wale, wamewaweka mstari ngariba akipita anakata km anakata nyama kisu kikali!!!
Mpk chango lilicheza, nikasema wanaume kumbe nao wanapitia magumu shenzy zao!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha wawe vitombiii, wanapitia magumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira wanamalizia kwenye kuloweka kila shimo walionalo.

Nimeanza kulewaa kumbikumbi wallah.
 
Baswahili ni watu wa ajabu sana,
Kuvaa nguo ni haki ya mtu yoyote,popote pale hata majani mtu anaweza kuvaa
Sasa nyinyi mnaona ajabu tuoneshane nguo za nini tena?
Ukipendeza pendeza kivyako,
Hujapendeza subiri awamu ingine.
Kuuliza umevaa nini ni Ushamba mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…