Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kesho mtasikia breaking news mtu kavunjwa miguu....Baba K hataki hata nywele ichungulie nje[emoji1787][emoji1787]
Anajionea wivu hadi ye mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 

Attachments

  • 1700333302059.jpg
    1700333302059.jpg
    214.8 KB · Views: 3
Hapo kazi ipo, pamoja na uneuri wangu wote Ila kwa mamy k nilinyoosha mikono[emoji23][emoji23]
Ulijua hujui ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dada unaye, kuna siku aliniambia kuna kitu nimemkera lkn hajaniambia mpk leo!!
Sijui nilimkwaza nini wifi yangu? Hebu muulize
 
Back
Top Bottom