Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Dada zangu humu nawapenda sana

Joannah
Antonnia
Carleen
Mamy K
Mmoja hapo aliniambia kuna siku niliona unataniana na mtu mpk nikajiuliza au hamko serious na bro? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Itabidi niache utani ss hivi kumbe mawifi wako makini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmoja hapo aliniambia kuna siku niliona unataniana na mtu mpk nikajiuliza au hamko serious na bro? [emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi niache utani ss hivi kumbe mawifi wako makini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] ni nani alikuambia hivyo?
 
Nampenda. Nilimuombeaga humu humu wakati akiwa makamu wa rais aje awe rais.

Mungu amlinde amtangulie amjalie furaha, afya na maisha marefu.
Sio Rais huyu, ni mke wa late Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…