Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mmoja hapo aliniambia kuna siku niliona unataniana na mtu mpk nikajiuliza au hamko serious na bro? [emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi niache utani ss hivi kumbe mawifi wako makini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] ni nani alikuambia hivyo?
 
Back
Top Bottom