Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Ni uzi wa furaha tukichoka huko kwingine.. Tujitahidi tusikwazane na kuvunjiana heshima..
Tuvumiliane poa na kuwa tayari kuombana radhi tunapokuwa tumewakosea wengine kwa bahati mbaya bila dhamira kificho[emoji1545][emoji1548]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ukiranja mkuu, yaani headboy au raisi wa chuo🤣
 
D
IMG_20231118_101832.jpg
 
Ni uzi wa furaha tukichoka huko kwingine.. Tujitahidi tusikwazane na kuvunjiana heshima..
Tuvumiliane poa na kuwa tayari kuombana radhi tunapokuwa tumewakosea wengine kwa bahati mbaya bila dhamira kificho[emoji1545][emoji1548]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ankal tatizo wanaoreport hawaonekani, utashangaa mtu akakasirika kisa pic ambayo hata haimuhusu!!!
Pap anabonyeza report anajaza maelezo ya uongo anatuma 😂😂🤣
 
Ankal tatizo wanaoreport hawaonekani, utashangaa mtu akakasirika kisa pic ambayo hata haimuhusu!!!
Pap anabonyeza report anajaza maelezo ya uongo anatuma [emoji23][emoji23][emoji1787]
This time nawaroga wote kama nilivyofanya kule [emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom