Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mkuu samahani! We ni mwalimu?Mguu wa kutoka -Sauti ya Bufa
View attachment 2817324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani! We ni mwalimu?Mguu wa kutoka -Sauti ya Bufa
View attachment 2817324
kutukuza na kukubali uumbaji[emoji23]Ni kutukuza na kukubali uumbaji mkuu, hakuna lingine[emoji1787]
Is that a hundred dollar bill or a love letter from your wallet?😅Haya 🤓
Wa hivi hawapandi daladala hawa ni uber + bolt na unaweza tuma nauli ikaliwa vile vileNi nani huyu? Nimepost kwa niaba kwa ruhusa [emoji16]View attachment 2817266
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee 😂😂Hata hiyo kitu ambayo hujavaa weka tu🤣
Lugha imebadilika mkuu 🤓🤓,Is that a hundred dollar bill or a love letter from your wallet?😅
Hawali nauli Hawa..[emoji23]Wa hivi hawapandi daladala hawa ni uber + bolt na unaweza tuma nauli ikaliwa vile vile
Naomba ukiranja mkuu, yaani headboy au raisi wa chuo🤣Ni uzi wa furaha tukichoka huko kwingine.. Tujitahidi tusikwazane na kuvunjiana heshima..
Tuvumiliane poa na kuwa tayari kuombana radhi tunapokuwa tumewakosea wengine kwa bahati mbaya bila dhamira kificho[emoji1545][emoji1548]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakukabizi umakonda [emoji2]Naomba ukiranja mkuu, yaani headboy au raisi wa chuo[emoji1787]
Ankal tatizo wanaoreport hawaonekani, utashangaa mtu akakasirika kisa pic ambayo hata haimuhusu!!!Ni uzi wa furaha tukichoka huko kwingine.. Tujitahidi tusikwazane na kuvunjiana heshima..
Tuvumiliane poa na kuwa tayari kuombana radhi tunapokuwa tumewakosea wengine kwa bahati mbaya bila dhamira kificho[emoji1545][emoji1548]
Sent using Jamii Forums mobile app
Love letter toka kwa wallet always zinabadilisha lugha🤣🤣Lugha imebadilika mkuu 🤓🤓,
This time nawaroga wote kama nilivyofanya kule [emoji35][emoji35][emoji35]Ankal tatizo wanaoreport hawaonekani, utashangaa mtu akakasirika kisa pic ambayo hata haimuhusu!!!
Pap anabonyeza report anajaza maelezo ya uongo anatuma [emoji23][emoji23][emoji1787]
Hata pua tu my friend au na yenyewe inavaa nguo?😅Weee 😂😂
Sina mpango wa kutrend mwisho wa mwaka huu
Anajua kumsumbua kama mdudu wa sikio 🤣🤣Subiri aamke uone atakavyoanza usumbufu wa kuomba picha 😂😂😂
Kiboko yake sir midabwada