Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #561
ProtectedSelfika Version II
Weka madawa mapema ili kusije kuwa na vita na hekaheka kama kwenye Selfika Original...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ProtectedSelfika Version II
Weka madawa mapema ili kusije kuwa na vita na hekaheka kama kwenye Selfika Original...
Hapana kaka yako hana hiyo tabia,nataka nifahamu huyo kababaa anakunyunyizia mbolea,yaan anakupa chakula😅 ..hivyo nategemea majibu mazuri kupitia picha la sivyo ..........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuona kishunduuu?? Mfyuuuh
Your wish is granted babe😚Nikuone kesho😉..
Sawa, sasa inabidi tuonane tukitoka hapo nikajitmbulishe kwenu.Yaani binadamu, unataka upewe nini mkuu😀, umepunguziwa mahari unadoubt ningekuambia mahari kubwa pia ungekimbia, wewe toa mbuzi 2 tu usijali😀
Nikupe muda tena mama?or umeelewa i mean umeona😉You wish is granted babe😚
Nimeona kabisa, sitaki kusema sana watu wataona 😂😂😂Nikupe muda tena mama?or umeelewa i mean umeona😉
🤣🤣🤣😍 Kuna siku katupia tshrt imeandikwa Ccugi nadhani walimaanisha Gucci 😆😆Nilikuwa namuita DMX wa Mwandiga 😂😂😂
Ana cap yake ya red anasema alinunua mnadani 🤣🤣🤣
Kilingeni Msataaa [emoji23]Unazitoaga wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpwa aongeze na mafusho kabisaSelfika Version II
Weka madawa mapema ili kusije kuwa na vita na hekaheka kama kwenye Selfika Original...
Sawa,have a nice moment,mi hermosaNimeona kabisa, sitaki kusema sana watu wataona 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo siri ya ba tamuu, wee ntakuonesha macho na pua.Hapana kaka yako hana hiyo tabia,nataka nifahamu huyo kababaa anakunyunyizia mbolea,yaan anakupa chakula[emoji28] ..hivyo nategemea majibu mazuri kupitia picha la sivyo ..........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuuh!!
🤣🤣hapana,sitofahamu maendeleo yako ya afya kimuonekano...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo siri ya ba tamuu, wee ntakuonesha macho na pua.
Kuwa mpole basi kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuuh!!
Hebu maliza case bhana wee.
Likewise huneSawa,have a nice moment,mi hermosa
Naona umejitokeza live ..How about we go all in. View attachment 2817520
Sawa mkuu😀😀 so quickSawa, sasa inabidi tuonane tukitoka hapo nikajitmbulishe kwenu.