Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Baswahili ni watu wa ajabu sana,
Kuvaa nguo ni haki ya mtu yoyote,popote pale hata majani mtu anaweza kuvaa
Sasa nyinyi mnaona ajabu tuoneshane nguo za nini tena?
Ukipendeza pendeza kivyako,
Hujapendeza subiri awamu ingine.
Kuuliza umevaa nini ni Ushamba mwingi sana.
Hatimaye babu uvumilivu umekushinda umekuja 🤣🤣🤣🤣
Antonnia na cocastic babu mi mmemuona? 🤣🤣🤣
 
Baswahili ni watu wa ajabu sana,
Kuvaa nguo ni haki ya mtu yoyote,popote pale hata majani mtu anaweza kuvaa
Sasa nyinyi mnaona ajabu tuoneshane nguo za nini tena?
Ukipendeza pendeza kivyako,
Hujapendeza subiri awamu ingine.
Kuuliza umevaa nini ni Ushamba mwingi sana.
Mume wangu hebu tulia, wee mzee sahiv achia vijana tufurahie wakati wetu.

Hutaki nipate wa kukusaidia majukumu ya kitandani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali? JF nzima hapa hakuna wa kumfikia 100% [emoji91][emoji91][emoji91][emoji3590]
Mzee hongera
48eb06b7-b305-4726-aa29-2c79f7f66a84.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mi mwenyewe nakaribia kustaafu hekaheka! Ss hivi nashinda insta na Kantry
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] insta ndo chimbo kuu LA sis wana heka heka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] La mstari
Kuna clip niliona sijui watu wa wapi wale, wamewaweka mstari ngariba akipita anakata km anakata nyama kisu kikali!!!
Mpk chango lilicheza, nikasema wanaume kumbe nao wanapitia magumu shenzy zao!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Anko ndio uanaume huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom