Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Usitake kunifanya niseme visivyohusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muache Eng wa watu, aenjoy uzi wa gran pah
😂😂😂😂 me sina neno naye mbona
Sema katisha sana na viatu vyake OG anavaa brand tupu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me sina neno naye mbona
Sema katisha sana na viatu vyake OG anavaa brand tupu
Nijiweke kwake au wee unasemajee?
Afu aliishi mambelee huyu, ko kukwea [emoji3575]ni kugusa tyuuh,
Chap kwa fasta tupo Michigan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kuna familia haina mdomo🤣🤣 Chai wananywea puani🤣🤣
Si tunakupenda tu😍
😂😂😂 Siamini km nimepita kwenye familia yenu!!!
Kaka ako anachagua utasema anataka kumla nyama mtu!!!🙌
Kuna muda had najiuliza nimetoboa toboa vipi? 😂😂😂
 
Kabisa kungwi hongera 😂😂😂

Kaka ako kashagoma why nilazimishe?
Kwanza akinijua yeye inatosha!!!
Usimuone anaingia na kutoka humu ukajua kaupenda uzi!! Ooh!! Yuko anafanya patrol 🤣🤣🤣🤣
Msikilize mahabuba wako, achana na Sisi walimwengu....Sisi ikifika saa usiku tunalala, wewe ndio utakesha na mito🤣🤣🤣
Analokukataza usifanye mwari wangu.....
Na ukipost namwambia🤣🤣, ukidundwa Simo🤣
 
Msikilize mahabuba wako, achana na Sisi walimwengu....Sisi ikifika saa usiku tunalala, wewe ndio utakesha na mito[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Analokukataza usifanye mwari wangu.....
Na ukipost namwambia[emoji1787][emoji1787], ukidundwa Simo[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndio nakupendea huwa unamuweka sawa sana huyu
 
Nijiweke kwake au wee unasemajee?
Afu aliishi mambelee huyu, ko kukwea [emoji3575]ni kugusa tyuuh,
Chap kwa fasta tupo Michigan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Jiweke aiseee!!
Kwa miosho ile akuchukue mnaendana kabisaaa!!!
Mambele aliishi jimbo gani? 😂
 
Back
Top Bottom