Bavarian8
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 656
- 1,447
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa si inatafutwa tu?Hana pesa Shem wangu kapewa cha mbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 km anaenda kuangalia kupatwa kwa juaNmemchezea kweli 😅😅😅 alikuwa havai miwani sahivi anavaa kuubwaa
Nitoe wapi haga mimi, sijui hata hagaz ni nini ujue😀😀mtt una hagaz 🤣 sikuhiz unakula nn mrembo?
Nitamlisha carrots bwana wee usinizeveze!ataacha kuvaa hiyo mi sungogoos😅😅Nmemchezea kweli 😅😅😅 alikuwa havai miwani sahivi anavaa kuubwaa
Anasoma pesa hanaPesa si inatafutwa tu?
Si hizo bastola hapo kwa fasi, mnaitaga hips kwa jina la NgaiiNitoe wapi haga mimi, sijui hata hagaz ni nini ujue😀😀
Huyo aliyenae mbona ndio mbabu pro max au hamjui😂😂😂?😂😂😂😂 Ss hivi yuko na Nyani ooh!!
Mbabu hautaki tena
Katupia pic kijana mbichi bado kabisa 😂😂😂Huyo aliyenae mbona ndio mbabu pro max au hamjui😂😂😂?
Umeanza wivu mxiiuHuyo aliyenae mbona ndio mbabu pro max au hamjui😂😂😂?
Kumbe , sasa mimi lini nishawahi kuwa na hips mkuu, 😀Si hizo bastola hapo kwa fasi, mnaitaga hips kwa jina la Ngaii
Kwahio mi macho yangu mabovu au unataka kusemaje? 🤣Kumbe , sasa mimi lini nishawahi kuwa na hips mkuu, 😀
🤣🤣🤣🤣 umeanza ukipigwa utasema wanajeshi wakorofi 😅😅😂😂😂😂 km anaenda kuangalia kupatwa kwa jua
Basi yaishe mkuu😀Kwahio mi macho yangu mabovu au unataka kusemaje? 🤣
Acha basi. Mimi wa migombani hapa SombetiniLas Vegas [emoji91][emoji91][emoji91]
Chaliifrancisco njoo hapaa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hilo fyonzo lako siku ya kuniomba mchango wa kurudia litageuka chumu ,,,Mwaaa!Nakuzoom tuUmeanza wivu mxiiu