Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Sana mkuu🙏🙏, vinyozi wetu pia tuwashukuru, Mana wanajua kutupendezesha👊Hiyo O umeichonga vizuri🤙
Itakua unacheka mkuu bila shaka😁😁Sijui hata nacheka Nini!
Kidogo nafsi itatulia.Ila chino 😂😂😂
Hujakata tamaa?
Kwanza ulikuwa wapi?
Nimekumiss!! Ni waooh bas 😀
Nkmetulia mwenyeeewe[emoji23]Haa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji1787]
[emoji23]Eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muone.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngazi za kupanda theatre, woiiiih
Huyu jamaa kuna watu atakuwa ana watafta anataka pakuaziaMzee wa nyuzi zinazoishi km "Jiselfie, snap it, show it"...
Naona umekuja kwa namna ingine ..
Jana usiku simu nimeikuta uvunguni kabisa😀😀![]()
Huyu mimi kabisa.😁😆
Mkuu unaelekea kubaya Sasa😅😅😅😅Jana usiku simu nimeikuta uvunguni kabisa😀😀
Hapana mkuu ni nyumba ya kupanga kwa muda mfupiMkuu hapo ulikua Nyumba ya wageni?