Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hebu maliza case, acha mbambamba
Subiri kidogo mjukuu
9674d99e-3bf3-4410-be25-57085dfb711d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila chino 😂😂😂
Hujakata tamaa?
Kwanza ulikuwa wapi?
Nimekumiss!! Ni waooh bas 😀
Kidogo nafsi itatulia.

Maana jembe lilikua halipiti vizuri mchuchu.

Umejua kumchanganya sana kijana wa watu.

Ipo siku ntasimama mataa ya mwenge kuzuia magari mpaka ujitokeze
 
Back
Top Bottom