Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Asante sana Mkuu,Hakika Bwana ni mwema,utukufu kwa Mungu.
Huu mwaka nimestruggle mno kufunga,nikaona mwisho wa mwaka Wacha nipambane.

Mungu amekuwa mwema,ameniwezesha.
Mi ni kweli mwaka huu sijafunga wala kuhubiri tokana na kutingwa na kazi za kimwili. Nimehubiri mara moja tu mkutano wa injili wa nje ila Mungu akisaidia mwakani nimepanga kununua vyombo vipya na kuanza kuhibiri. Nitaanza na mfungo binafsi then nitaendelea na wa siku 28 wa TAG Kitaifa.
 
Zulu man karibu chai...
20231227_232114.jpg
 
Back
Top Bottom