ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nauliza tena, wewe ni muhaya?tunakunywa na juice š„¤ ya bei kali sanaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauliza tena, wewe ni muhaya?tunakunywa na juice š„¤ ya bei kali sanaaa.
Tupia mimi sitauliza diet yako kweli tenaNilitupia watu wakanicheka nimesema situpii tena!
Wakipost wengine mnawasifia nikipost mimi mnaanza kuniuliza diet yangu ipoje
Nilipost mara ya kwanza maswali yakawa mengiTupia mimi sitauliza diet yako kweli tena

Hiii imekaaje kujuana mbn Mimi sijuišBora huku mnaona avatar hata ya viatu
šTunajuana kabla?
Sasa kasafari ndio kwanza tuna kaanza fungua PM nizamie kama yule mwamba kuleš¤£š¤£š¤£Nishaona hatujuani kabla!
Tunasubiri..Nilipost mara ya kwanza maswali yakawa mengi
Nikapost mara ya pili maswali tena
Mara ya tatu wengine waliongea kama wewe hawatonicheka nikaingia kingi nikaweka picha zangu zile nzurinzuri ila wakaendelea kunicheka
Situmi tena! Anayetaka kuniona aje kwetu![]()
Utasubiri sanaaa..!Tunasubiri..

Huu ni uchoyo wa waziwazišUtasubiri sanaaa..!![]()
š¹šššš¤
Selfika hapaMahondaw CCy kama uko free nambie tuselfike hapa au selfika kule
Mr vocha shikamoo kaka angu.Selfika hapa
Pole kama ni kweli walikucheka.Nilipost mara ya kwanza maswali yakawa mengi
Nikapost mara ya pili maswali tena
Mara ya tatu wengine waliongea kama wewe hawatonicheka nikaingia kingi nikaweka picha zangu zile nzurinzuri ila wakaendelea kunicheka
Situmi tena! Anayetaka kuniona aje kwetu![]()
Heshima yako bossMr vocha shikamoo kaka angu.
Sawa naselfikaHeshima yako boss
Selfika basi tukuone
Asante sanaPole kama ni kweli walikucheka.

Tukaselfike kule sis huku mpaka tukipigwa banššššš!Mr vocha shikamoo kaka angu.